Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA

IMG-20221123-WA0291.jpg

Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache kabla ya kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa UWT Taifa.

"Kabaka ni Mchapakazi sana, amejitahidi kuunganisha Jumuia yetu Kuwa kitukimoja, Kusimamia miradi ya Jumuia kikamirifu pia amejitahidi kutengeneza Fursa nyingi kwa wanawake katika kujikwamua kiuchumi bila Shaka hatuna Mbambamba tunampa MITANO TENA"
____________________________
Mjumbe Mkutano Mkuu UWT ndugu. Zuhura Rashid.
 
Wote wawili Mama Kabaka na mama Kamba ni wazuri sana na wana uwezo mzuri sana na uzoefu mkubwa sana wa kuongoza na kusimamia lakini Mimi namuona Kate Kamba anafaa zaidi.

Mama Kate kamba namzungumzia kama mwanamke wa shoka mwenye sifa nyingi zaidi. Moja ya umachachari wake ni kufanikiwa kuirejesha Dar ya kijani.

Kuna uzi niliandika juu ya mama Kamba kufaa kuwa RC wa DSM kwa sababu ana maono na utashi wa kuongoza, Nashukuru kaonekana kwa nafasi kubwa zaidi ya uenyekiti wa UWT Taifa.

Zaidi ya yote, Rais Samia akiwa makamu wa Rais alikuwa ni mlezi wa chama mkoa was DSM na Pwani na kama mlezi amefanya kazi na mama Kamba kwa ukaribu sana na niseme kwamba wanajuana kwa mengi.

Ndugu wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT Taifa nendeni na mama kamba kwa UWT imara, yenye mafanikio na misimamo.
 
KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA

View attachment 2425898
Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache kabla ya kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa UWT Taifa.

"Kabaka ni Mchapakazi sana, amejitahidi kuunganisha Jumuia yetu Kuwa kitukimoja, Kusimamia miradi ya Jumuia kikamirifu pia amejitahidi kutengeneza Fursa nyingi kwa wanawake katika kujikwamua kiuchumi bila Shaka hatuna Mbambamba tunampa MITANO TENA"
____________________________
Mjumbe Mkutano Mkuu UWT ndugu. Zuhura Rashid.
bado vijana wa Kawe tunasubiri safari ya kwenda Marekani ambayo Mgombea uliyempigia debe Mchungaji Gwajima alikwambia utuambie
 
Wewe dada chaupele shituka shoga Yako wamempiga kwanja
 
Kweli aaiseeee !!
 
Chacha mbona tumeambiwa kapigwa chini. 😆
 
bado vijana wa Kawe tunasubiri safari ya kwenda Marekani ambayo Mgombea uliyempigia debe Mchungaji Gwajima alikwambia utuambie
sisi wengine tunasubiri mbunge wetu wa kawe akafufue kwanza japo mtu mmoja pale lugalo hospital ikimpendeza hata MZENA TU
 
Back
Top Bottom