John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000.
Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China.
Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo...
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.
Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele...
Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma.
Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
Mkutano wa kilele kati ya Marekani na Afrika umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 Desemba 2022, ikiwa ni moja ya juhudi za Marekani kutekeleza sera yake ya kurudisha uwepo wake barani Afrika, baada ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kuiweka Afrika pembeni kwenye sera za...
Mzee wetu Ysufu Makamba, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM alitoa kauli yenye ukakasi mkubwa Sana kwenye Mkutano Mkuu uliopita, kuwa eti viongozi wema huwa hawafi na akatolea mfano wa JK na Kinana, kuwa Bado wako hai hadi Leo, Kwa kuwa wamewatendea mema watanzania!
Ingawa kauli hiyo Rais wetu Dkt...
Hakuna haja ya kuongea sana.
Ktk historia ya siasa za CCM kuna jambo limezuka na jambo hilo sio la kawaida.
Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno.
Cha ajabu zaidi ni pale wanapotishana wao kwao na kutukanana wazi wazi.
Mkutano ulijaa matusi, kejeli, hasira...
Kwa mtazamo Wangu CCM wanahitaji kujitafakari pakubwa saaaana. Na kama Wana CCM hawataamka na kutetea Chama Cha Mambuzi, wataendelea kudharaulika.
Huwezi kuandaa mkutano wa mabilioni huku ukiacha mkutano huo utawaliwe na Vijembe, Mizaha na Rushwa. Je, mlienda Dodoma kusimangana?
Mnaanza...
Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4]
siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts"
isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119]
..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa.
ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa CCM baada ya kuugua mafua makali akiwa tayari yuko jijini Dodoma.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu leo Desemba 6, 2022 wakati akisoma salamu zake katika mkutano mkuu wa 10 unaoendelea...
Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo.
1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi.
2. H/maushari kuu ya CCM wilaya.
3. Kamati ya Siasa wilaya...
Hapa nataka kuandika something like an imaginary speech kuwaalika wajumbe. Kama anavyofanya Xi Jin Ping. Wengine labda watataka kuiendeleza.
Karibuni Dodoma wajumbe wote. Tunakutana katika hali ambapo changamoto nyingi zinatukabili, kwa mfano vita ya Ukraine ambayo inayumbisha uchumi wa...
Amani iwe nanyi,
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA leo tarehe 27 Novemba, 2022
Akifungua mkutano huu, Rais amewashauri wanataaluma wa kada hii...
KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA
Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (kulia) akizungumza na baadhi ya mabalozi walipotembelea banda la Benki ya CRDB katika maonyesho yanayoenda sambamba na Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mabalozi...
Mkutano kati ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) umevunjika baada ya kuibuka kwa hali ya kutoelewana.
Sababu za kuvunjika kwa mkutano huo ni kikokotoo ambacho baadhi ya wajumbe wa CWT walitaka mjadala urudi upya mezani katika sheria ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.