mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI? Na Thadei Ole Mushi. Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya. 1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini. 2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu. 4. Wengine...
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa na wenzake huenda watazuiliwa makwao ili wasifanye mkutano

    Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI. Nukuu: "....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Sababu za kupigwa Marufuku nchini Tanzania Mkutano wa Nabii ezekiel Ezekiel Odero toka Mombasa zatajwa .

    Mchungaji Maarufu wa kanisa la Newlife nchini Kenya, Ezekiel Odero aliyekuwa afanye mkutano mkubwa wa Injili Jijini Arusha, amezuiwa na polisi kuendelea na mkutano huo,huku sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara. "Sitisha mkutano wako na usifanye shughuli hiyo Hadi tamko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mbeya, kauliza mbona hamnipigii makofi!

    Naangalia mkutano wa CCM Mbeya. Msemaji mmoja kauliza CCM mpooo akajibiwa tupo kisha akasema "mbona hamnipigii makofi?" Kazi kwelikweli.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Marais wa Afrika katika Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF)

    Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF) unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu ambapo marais zaidi ya 15 wamealikwa kushiriki. Katika kongamano hilo linalofanyika kwa mara ya nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dk. Samia Suluhu...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?

    Wakuu, Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa. Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shonza Afanya Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Songwe

    Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Songwe Kata ya Magamba na kufanya Mkutano wa Hadhara na kuchangia kikundi vya wanawake wajasiriamali katika shughuli zao za kiuchumi. Mhe. Juliana Shonza akiwa Kata ya Magamba Wilaya ya...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

    Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023 Tanga mnatumika Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege Afanya Ziara na Mkutano wa Hadhara katika Kata ya Kitembe

    MHE. JAFARI CHEGE WAMBURA AFANYA ZIARA NA MKUTANO KATIKA KATA YA KITEMBE Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Chege Wambura ameanza ziara rasmi na kufanya Mkutano wa kwanza katika Kata ya Kitembe Wilaya ya Rorya "Wakati nawaomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Rorya mwaka 2020...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha leo tarehe 3 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE. "Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana" "Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani" "Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
  15. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba mnakwenda na bajeti ya bilioni 13 iliyopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu au mnaenda na bajeti ya bilioni 24 ya kwenye hafla ya ubwabwa?

    Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini Mkakati Kujadiliwa Mkutano wa 19 wa EITI

    MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji (EITI – Extractive Industry Transparency Initiative) uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya Madini...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 42 - tarehe 07/06/2023

  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
Back
Top Bottom