Updates za Mkutano wa leo Temeke

Wadau mlio karibu na eneo la tukio au mnaopita karibu na eneo hilo, nini kinaendelea muda huu kuhusiana na maandalizi na maendeleo ya mkutano wa Bandari?

Tunaomba mtupe updates za kinachoendelea kabla mkutano huo haujaanza rasimi.

Karibuni.
Any updates
 
Wenzetu ndio wameanza safari muda huu kutoke huku pembezoni mwa mji wa dar kwenda huko kwa mkutano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom