Pakistan: Watu 44 wauawa kwa Mlipuko katika mkutano wa siasa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan

Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio lililowalenga Wanachama wa chama cha Jamiat Ulema-e-Islam-Fazl (JUI-F) katika Mji wa Khar, karibu na mpaka wa Afghanistan.

Hakuna madai ya moja kwa moja ya waliohusika na shambulio hilo lakini tawi la ndani la ISIS awali lililenga viongozi wa Chama cha JUI-F wakidai wanawachukulia kuwa waasi.

Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif "amelaani vikali" mlipuko huo, kulingana na taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri.

Uchunguzi unaendelea, na ofisi ya waziri mkuu imeomba ripoti kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Rana Sanaullah na serikali ya Khyber Pakhtunkhwa, taarifa hiyo iliongeza.

Kiongozi wa chama cha JUI-F, Maulana Fazlur Rehman, alionyesha "huzuni na masikitiko makubwa" kufuatia mlipuko huo, katika taarifa iliyotolewa na ofisi yake ya vyombo vya habari.

++++++

Blast rips through political gathering in Pakistan, killing at least 44

At least 44 people died after a suicide bomber attacked a political convention organized by an Islamist party in northwestern Pakistan, police said.

More than 100 were injured, 17 critically, in the attack targeting members of the Jamiat Ulema-e-Islam-Fazl (JUI-F) party, who had gathered in the town of Khar, close to the border with Afghanistan.

Local police said the attacker detonated explosives near the convention’s stage.

There has been no initial claim of responsibility for the attack. But the local branch of ISIS has previously targeted JUI-F party leaders as they consider them apostates.

Pakistani Prime Minister Shehbaz Sharif “strongly condemned” the blast, according to a statement released by the minister’s office.

An investigation is underway, and the prime minister’s office has requested a report from Interior Minister Rana Sanaullah and the Khyber Pakhtunkhwa government, the statement added.

The leader of the JUI-F party, Maulana Fazlur Rehman, expressed “deep sorrow and regret” following the blast, in a statement released by his press office.

“‎Peace be upon JUI workers,” the statement added. “The federal and provincial government should provide the best treatment to the injured.”

One witness said more than 500 people were attending the convention when the blast occurred.

“A powerful explosion knocked me unconscious,” Rahim Shah told Dawn.com.

When he came around there were “people screaming and even shots were fired,” he said, adding that there was blood everywhere.

Pakistani political parties are beginning campaign preparations ahead of elections due later this year.

Source: CNN
 
Siasa kali, mujahidina
 
Back
Top Bottom