Tuhuma mbalimbali za ufisadi zazidi kumwandama aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri na madaraka zimezidi kumwandama aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha ,Ndaki Muhuli ambapo safari hii inaelezwa “ametafuna “zaidi ya sh,142 milioni fedha ambazo ni makusanyo ya ndani.

Ndaki kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko mkoani Kigoma ambapo alihamishwa katika mabadiliko yaliyofanyika mwaka huu.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya halmashauri hiyo zimeeleza kwamba mhasibu wa halmashauri hiyo aliyetambulika kwa jina moja la Mudi ameandika maelezo mbele ya timu ya uchunguzi wa mkoa kuwa alipewa maelekezo na Ndaki amkabidhi fedha hizo.

Taarifa hizo zimeeleza kwamba Ndaki akiwa mkurugenzi kwa kushirikiana na mwanasheria wa halmashauri waliandaa mikataba na kisha aliwaita wakusanya mapato wote na kisha kuwapa mikataba hiyo huku akiwashurutisha kwamba makusanyo yote ya fedha wanapaswa kuyapeleka moja kwa moja kwa mhasibu (Mudi)badala ya bank kinyume na utaratibu.

Vyanzo vya habari vimeeleza kwamba Ndaki aliunda timu ya mapato ndani ya halmashauri hiyo ambayo inashutumiwa kufuja fedha hovyo za halmashauri hiyo ambapo asilimia kubwa ya fedha zilizokuwa zikikusanywa zilikuwa hazipelekwi benki bali zinaishia mikononi mwa wajanja.

“Yule mhasibu (Mudi)alipohojiwa na ile timu ya uchunguzi ambayo imetoka mkoani amesema bila kuficha zile milioni 142 alipewa maelekezo na Ndaki amkabidhi “kilisema chanzo cha habari

Taarifa hizo zimeenda mbali na kudai kwamba tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa(Takukuru )wilayani Siha inachunguza tuhuma hizo na imeshawahoji baadhi ya watumishi akiwemo Ndaki.

Ndaki ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko mkoani Kigoma anaandamwa na tuhuma mbalimbali kama ile ya kufanya biashara ya mbao kupitia msitu wa Sanya Forest ambazo alikuwa akiiuzia halmashauri hiyo ili zitumike katika miradi mbalimbali wilayani humo wakati akiwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Taarifa kutoka wilayani humo zinaeleza kwamba Ndaki alitumia cheo chake cha ukurugenzi kuamuru apewe mbao hizo bila kuzilipia mapato na kisha kuiuzia halmashauri hiyo ili zitumike katika miradi mbalimbali kama ujenzi wa hospitali ya wilaya ili zitumike kinyume na sheria .

Lakini mbali na tuhuma hizo taarifa hizo zinadai ya kwamba kabla ya kuhamishwa inasemekana alikodisha malori kutoka kampuni ya Dangote kubeba mbao hizo na haikujulikana alikuwa akizipeleka wapi mpaka sasa haijulikani zilipo.

Mbali na tuhuma hizo Bwana Ndaki amekuwa akituhumiwa kwamba siku chache kabla ya kuhamishwa aliwaamuru wakusanya ushuru mbalimbali katika halmashauri hiyo kumpelekea fedha zote walizokusanya kwa kutumia mfumo wa POSS zikiawa taslimu(cash) huku akiwataka waseme kuwa mashine ziliharibika.

Mbali na tuhuma hizo Ndaki anatuhumiwa kufanya biashara ya nyama pori kutoka wilayani Siha na kisha kuzipeleka wilayani Kiteto ambako alikuwa na bucha mbalimbali za nyama ya pori.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Ndaki alikuwa akitumia gari ya serikali kupeleka bidhaa hizo wilayani Kiteto huku akimtumia dereva wa halmashauri hiyo ambaye alikuwa ameshastaafu na kisha kuongezewa mkataba kinyemela anayetambuoika kwa majina ya John Sanai Maimu .

Lakini mbali na tuhuma hizo Ndaki anatuhumiwa kuchukua fedha za halmashauri hiyo na kisha kununua machine ya kufyatulia matofali ambayo alikuwa akiyauza kwa watu binafsi na kwenye baadhi ya miradi ya halmashauri hiyo.

Itaendelea........

93DCB911-FD26-4A9C-A185-033EA45D1FB7.jpeg
 
ohooo! naona mnamchomea Ndaki utambi, kama hizo tuhuma ni za kweli atateseka sana
 
Hii nchi bila kutunga sheria za kunyonga wahujumu uchumi hadharani..hatuwezi enda popote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona Wilaya hizo Hai kwa Sabaya na Siha ambayo ni ngome ya Chadema mambo sio shwari? Wateule wote wa merehemu hatari mkono wa chuma utawapitia
 
hahhaahha,huyu ndaki si ndiye aliwafukuza wale watumishi wa halmshauri ya Siha kwa makosa ya kutunga au siye?,muosha huoshwa
 
Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri na madaraka zimezidi kumwandama aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha ,Ndaki Muhuli ambapo safari hii inaelezwa “ametafuna “zaidi ya sh,142 milioni fedha ambazo ni makusanyo ya ndani.

Ndaki kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko mkoani Kigoma ambapo alihamishwa katika mabadiliko yaliyofanyika mwaka huu.

Taarifa za uhakika kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya halmashauri hiyo zimeeleza kwamba mhasibu wa halmashauri hiyo aliyetambulika kwa jina moja la Mudi ameandika maelezo mbele ya timu ya uchunguzi wa mkoa kuwa alipewa maelekezo na Ndaki amkabidhi fedha hizo.

Taarifa hizo zimeeleza kwamba Ndaki akiwa mkurugenzi kwa kushirikiana na mwanasheria wa halmashauri waliandaa mikataba na kisha aliwaita wakusanya mapato wote na kisha kuwapa mikataba hiyo huku akiwashurutisha kwamba makusanyo yote ya fedha wanapaswa kuyapeleka moja kwa moja kwa mhasibu (Mudi)badala ya bank kinyume na utaratibu.

Vyanzo vya habari vimeeleza kwamba Ndaki aliunda timu ya mapato ndani ya halmashauri hiyo ambayo inashutumiwa kufuja fedha hovyo za halmashauri hiyo ambapo asilimia kubwa ya fedha zilizokuwa zikikusanywa zilikuwa hazipelekwi benki bali zinaishia mikononi mwa wajanja.

“Yule mhasibu (Mudi)alipohojiwa na ile timu ya uchunguzi ambayo imetoka mkoani amesema bila kuficha zile milioni 142 alipewa maelekezo na Ndaki amkabidhi “kilisema chanzo cha habari

Taarifa hizo zimeenda mbali na kudai kwamba tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa(Takukuru )wilayani Siha inachunguza tuhuma hizo na imeshawahoji baadhi ya watumishi akiwemo Ndaki.

Ndaki ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko mkoani Kigoma anaandamwa na tuhuma mbalimbali kama ile ya kufanya biashara ya mbao kupitia msitu wa Sanya Forest ambazo alikuwa akiiuzia halmashauri hiyo ili zitumike katika miradi mbalimbali wilayani humo wakati akiwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.

Taarifa kutoka wilayani humo zinaeleza kwamba Ndaki alitumia cheo chake cha ukurugenzi kuamuru apewe mbao hizo bila kuzilipia mapato na kisha kuiuzia halmashauri hiyo ili zitumike katika miradi mbalimbali kama ujenzi wa hospitali ya wilaya ili zitumike kinyume na sheria .

Lakini mbali na tuhuma hizo taarifa hizo zinadai ya kwamba kabla ya kuhamishwa inasemekana alikodisha malori kutoka kampuni ya Dangote kubeba mbao hizo na haikujulikana alikuwa akizipeleka wapi mpaka sasa haijulikani zilipo.

Mbali na tuhuma hizo Bwana Ndaki amekuwa akituhumiwa kwamba siku chache kabla ya kuhamishwa aliwaamuru wakusanya ushuru mbalimbali katika halmashauri hiyo kumpelekea fedha zote walizokusanya kwa kutumia mfumo wa POSS zikiawa taslimu(cash) huku akiwataka waseme kuwa mashine ziliharibika.

Mbali na tuhuma hizo Ndaki anatuhumiwa kufanya biashara ya nyama pori kutoka wilayani Siha na kisha kuzipeleka wilayani Kiteto ambako alikuwa na bucha mbalimbali za nyama ya pori.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Ndaki alikuwa akitumia gari ya serikali kupeleka bidhaa hizo wilayani Kiteto huku akimtumia dereva wa halmashauri hiyo ambaye alikuwa ameshastaafu na kisha kuongezewa mkataba kinyemela anayetambuoika kwa majina ya John Sanai Maimu .

Lakini mbali na tuhuma hizo Ndaki anatuhumiwa kuchukua fedha za halmashauri hiyo na kisha kununua machine ya kufyatulia matofali ambayo alikuwa akiyauza kwa watu binafsi na kwenye baadhi ya miradi ya halmashauri hiyo.

Itaendelea........

View attachment 2041222
Mjomba unajua sana kupiga majungu
 
Ndaki ni CCM, aliletwa na CCM, kuja kuvuna pesa na rasimali za wananchi wa hai na siha kwa kivuli cha kuua upinzani.

Nani wa kumchunguza, kumshtaki na kumhukumu ngedere wa kijani ikiwa wachunguzi, washtaki na watoa hukumu nao ni ngedere wale wale wa kijani?
 
Hata Sabaya mashitaka yalianza taratibu baadae ikawa kweli katendaAtapata watetezi humu JF .
 
Vi sub sabaya vilikuw vingi kumbe Mmmmhhhh.. Mama hataki makasiriko ya wanaomsingizia mwendazao historia itawabeba au kuwaketisha chini mana mabega yalizid kuinuka juu.
Ss madiwan wa siha wanachojua nikuazimia tu watumishi bla ht kujua undani wa vitu kugonga meza kw bashasha kumbe fedha zinapigwa.
 
Back
Top Bottom