mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,763
- 35,201
Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12.
Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na
Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali, cement, nondo, kokoto, bati, mbao, gypsum boards, aluminiums, grills, rangi za nyumba na vingine vinavyohusika
Vyombo vya usafiri ikiwa ni pamoja na pikipiki, bajaj, magari madogo
Wanaouza plots na mashamba, wanaouza mifugo na kutoa matunzo ya ufugaji kwa wateja wao kama ng'ombe wa maziwa, mbuzi, viranga wa aina zote (wa kuku, samaki...) n.k
Kama upo kati ya hao na unafanya biashara rasmi (namaanisha biashara iliyosajiliwa kisheria) karibu tuyajenge. Asanteni