Mkopo wa Elimu unapokuwa wa kinyonyaji

Mkopo wa Elimu unapokuwa wa kinyonyaji

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
Wanufaika wa mkopo wa elimu kilio kilio na ndo mana wengi wanakimbia wasilipe mkopo.

Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika.

Mkopo wa elimu sio sawa na mkopo wa kibiashara. Na kwa ujinga huu mnaofanya itawafanya wengi wapige chenga kutolipa. Mtawapata wale tu wa tasisi na mifumo nayotamulika ya ajira. Acheni kuendeleza ukoloni maomboleo katika nchi iliyopata uhuru
 
Wakati mnajaza hizo form hamkuona hiyo value retention fee???
Wakati mnapokea boom zenu na kutanua hamkuyajua haya?
Anyway kama kweli mpo serious basi fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kura
 
Wakopeshaji ni wawekezajizi na wawekezaji utafuta faida.

Na faida upatikana kwa njia ya riba. Kama unaweza pata mkopeshaji asiyetoza riba kama zile Islamic Bank nenda huko.

Mkopo sio msaada.
 
Wakati mnajaza hizo form hamkuona hiyo value retention fee???
Wakati mnapokea boom zenu na kutanua hamkuyajua haya?
Anyway kama kweli mpo serious basi fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kura
Kwanza hujui hata sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza lini na melezo ya retention fee!
 
Dawa ya kukopa ni kulipa mkuu usichenge chenge by the way I know so much than you when it comes to Hii sheria
 
Better speak out if you know much, otherwise some thread na kukaaa kimya. What's the logic of accrue RETENTION FEES imposed ambayo haiangalii umepata kazi, haujapata kazi, umekufa, una wategemezi wangapi, inflation rate, umekuwa kilema, ajira za kazi za muda mfupi, etc.
 
Kwanini ulisaini form yao?
 
Wanufaika wa mkopo wa elimu kilio kilio na ndo mana wengi wanakimbia wasilipe mkopo.

Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika.

Mkopo wa elimu sio sawa na mkopo wa kibiashara. Na kwa ujinga huu mnaofanya itawafanya wengi wapige chenga kutolipa. Mtawapata wale tu wa tasisi na mifumo nayotamulika ya ajira. Acheni kuendeleza ukoloni maomboleo katika nchi iliyopata uhuru
Hii 6% inayoongezeka, mwisho wa siku hii pesa inalipika vipi? Huu Mkopo hauwezi kwisha milele na milele.
 
Nacheka kwa dharau!

Yani mbunge akimaliza miaka 5 anakula kiinua kitambi cha si chini ya milioni 300 kiulainiiiii

Huku mwanachuo akimaliza kusoma elimu ya kukariri makaratasi na mavitini makubwa chuoni kwenye elimu ya mfumo koloni ambao haumpi option nyingine ya kupambana na mazingira yake zaidi ya kumaliza soli kwa kusaka white colar jobs

Eti ndio anategemewa alipe 6% addition?

By the way ksma gavamenti inapita humu ijaribu kuniambia ukimaliza kozi hizi unakua nani kama si ujobulesi?

SOSHOLOJI
INTANESHINOO RILESHENI
POLITIKO SAYANSI
BA. HISTORI
ANTHROPOLOJI
BA. DEVELOPMENT STADIZ
PABULIKI ADIMINISITIRESHENI

Na mengine mengi kisha mniambie ni keeli mhitimu wa kozi hizo anaziaply vipi kuleta hata kilo ya unga nyumbani?
 
Wakati mnajaza hizo form hamkuona hiyo value retention fee???
Wakati mnapokea boom zenu na kutanua hamkuyajua haya?
Anyway kama kweli mpo serious basi fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kura
Uwe serious basi. Wakati tunajaza zile fomu, makubaliano ni kukatwa hadi asilimia 8 kwa mshahara na hakukuwa na value retention fee. Yaani hawa viongozi ni shida kwa kweli. Wamesomeshwa bure na Nyerere halafu wao wanakomoa vijana. Aibu tupu
 
Back
Top Bottom