Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,
Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala...
Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana.
Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits...
Ndugu zangu,
Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.
Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango.
Ikumbukwe Zitto Kabwe...
Salaam Wakuu,
Nataka nizungumzie tu chembe ya uungwana ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa maishani mwetu.
Ni vema kuonesha uungwana unapopatiwa mkopo wa fedha na ndugu, jamaa au rafiki. Uungwana wa kwanza ni kuhakikisha una dhamira ya kulipa pindi unapokopa, kisha kupambana juu chini...
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.
TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi
●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu
●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
Habari zenu wapendwa natumai mko salama saana pole na changamoto za kila siku mnazopitia katika maisha.
Mimi ni mwanafunzi nlie maliza form six mwaka2021 na ilipo fika wakati wa kuomba vyuo nilipata vyuo vitano na nikacomferm chuo kimoja lakni pia na mkopo nikawa NIMEPATA lakini kutokana na...
Habarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe...
Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa...
Wakuu,
Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa zaidi (nauzia minadani).
Hela narudisha Jumamosi jioni baada ya kumaliza mnada wa kwanza.
Naishi Dar...
Habari za wakati huu wakurugenzi;
Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60.
Dhamana ya Mkopo ni kama ifuatavyo:
Kiasi cha 30% ya Mkopo kitadhaminiwa na Kiwanjja kilichoko Hai Kilimanjaro)Hakina...
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST)...
Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka
Vilevile, Tanzania na...
Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao.
Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe...
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee...
=====
Serikali ya Tanzania na Japan zimesaini mikataba mitatu ya...
Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
CITI BANK imeahidi kuisaidia Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka katika Benki hiyo pamoja na washirika wake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) pamoja na kuahidi kuwa balozi wa kutafuta wawekezaji wataowekeza mitaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.