mkopo

  1. D

    Faida za mkopo wa muda mrefu na mfupi

    Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8. Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa...
  2. G

    Ukiwa muajiriwa unaweza kupata mkopo wa Chuo Kikuu?

    Habari wanaJF. Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human resource" . Sasa anataka kujua endapo akiomba mkopo atapata? mwenye uzoefu wa hii kitu kwa miaka ya hivi...
  3. T

    Je, kuna wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wamepata mkopo?

    Wakuu habari Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous. Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la...
  4. Analogia Malenga

    Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  5. T

    Kuna continuous yeyote alieomba mkopo kapata mpaka sasa

    Wakuu habari yenu poleni na majukumu aise naomba kuuliza kama kuna continuous yeyote aliomba mkopo na kapata moaka sasa au utaratibu ni ule ule continuous wao ni mpaka batch ya mwisho
  6. BARD AI

    TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  7. JF Member

    Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa. Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni? Serikali...
  8. Mr Pixel3a

    Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  9. Suzy Elias

    Rais Samia akopa zaidi ya Tsh bilioni 900 kutoka Abu Dhabi

    Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?! NB: Akumbukwe Ndugai.
  10. T

    Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
  11. Boss la DP World

    Nimekula mbususu kwa mkopo

    Leo nimekuja Mwanza kikazi, baada ya kufika nikachukua chumba lodge x, nikaenda gereji kufanya service maana keshokutwa narudi Morogoro. Nikiwa pale gereji nikajaribu kudodosa kujua ntapataje company, fundi mmoja akanipa connection ya Telegram.😂 Nikawasiliana nayo ikanipa gharama zake na chumba...
  12. X

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
  13. fungi06

    Njia sahihi za kukopa bila kunyimwa Mkopo

    Huku tozo zikiwa zinazidi kunjunja vichwa, nimeona leo tujaribu kurahisisha maisha pale unapokwama. Ndugu hakuna njia yakutatua tatizo lako ukiwa ukingoni bila kuomba msaada au comeback kwa marafiki mpaka ndugu. Sasa leo mimi kwakua watu wanajaribu kuanzisha movement zao kwamba "BORA UMFADHILI...
  14. Analogia Malenga

    Albert Chalamila: NMB wameniambia nikifanya vizuri watanilipia mkopo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha Mwl Julias Nyerere. Hata hivyo, hajasema kufanya vizuri kwa namna gani, kama ni kiutendaji au...
  15. BARD AI

    Kenya yapigwa faini Tsh. Bilioni 23.3 kwa kuchelewa kulipa mkopo wa SGR

    Uamuzi huo umechukuliwa baada ya Mfuko wa Hazina kushindwa kulipa Tsh. Bilioni 356.3 inazopaswa kulipa kila mwaka kupitia mkopo wa Tsh. Trilioni 7.4 ambao Serikali ilichukua kwaajili ya ujenzi wa SGR kutoka Mombasa hadi Naivasha. Wananchi wamelazimika kulipa mikopo hiyo kupitia kodi baada ya...
  16. BARD AI

    Tanzania kukopeshwa Tsh. Trilioni 4.9 na Benki ya Dunia kwa miaka mitatu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema Benki ya Dunia imeitengea Tanzania Dola za Marekani Bilioni 2.1 (Trilioni 4.9) katika mzunguko wa 20 wa IDA (Julai 2022-Juni 2025) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayokusudia kukuza uchumi wa Nchi pamoja na...
  17. T

    HESLB wanatuibia tuliomaliza marejesho ya mkopo Elimu ya juu. Kwa kuendeleza makato licha ya kumaliza deni. Prof Mkenda Litazame.

    Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
  18. BARD AI

    Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh. Bilioni 979 za miradi

    Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu utakayonufaisha mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni 420 (Sh 979,374,404,740 za Tanzania)...
  19. T

    Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  20. Melki Wamatukio

    Wanawake bhana! Nilimkopesha 30k, kuomba anirudishie kanigeuza adui

    Alikwama katika harakati zake za hapa na pale, hivyo akaniomba nimpatie elfu thelathini asogezee siku kisha kuahidi kunirudishia siku iliyofuata. Cha ajabu siku iliyofuata akanilia buyu, kisha kesho yake! Nikaona kama nikiendelea kuwa kimya nitaisubiri mpaka ukamilifu wa dahali. Nikaona...
Back
Top Bottom