Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

contask

Senior Member
Jan 3, 2021
160
264
Samahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
 
Utaratibu wa JKT, Huwa wanatoa wiki 2 ya kushughulikia Maombi ya Mikopo, Kama una valid certs unaweza enda navyo
 
Ukweli inategemea kambi. Kijana wangu 2021 alikwenda Mgambo. Hawakupewa muda wa kufanya hizo selections na hawakuwa na simu hivyo haikuwa rahisi kukamilisha hilo zoezi. Na mkopo ni hivyo hivyo. Tuliwalaani jkt lakini ndio hivyo.
 
Kuanzia mwaka Jan majamaaa hawatoi ruhusa ya kuomba mkopo unaomba kulekule Koo ushauri nivuzuri ukamuachia mtu akuombee mkopo unaye mwamini na umuachie document zote muhimu hasa chet Cha kuzaliwa verfd by Rita ila kuhusu chuo unaweza omba hukohuko Huwa ni simple
 
Kama wengi wanavyosema ukienda jkt acha vyeti vyako vyote kwa mtu unaemuamini akuombee mkopo ila chuo utaomba mwenyewe huko. Nimetoka jkt mwaka jana naelewa kila kitu fuata ushauri wangu usimsikilize yoyote
 
Kabla ya kwenda hakikisha cheti chako cha kuzaliwa umekihakiki kwa njia ya mtandao ilimradi isikusumbue mbeleni.
 
Kama wengi wanavyosema ukienda jkt acha vyeti vyako vyote kwa mtu unaemuamini akuombee mkopo ila chuo utaomba mwenyewe huko. Nimetoka jkt mwaka jana naelewa kila kitu fuata ushauri wangu usimsikilize yoyote
mkuu vitu vp vinahusik katika kuapply chuo
 
Kama wengi wanavyosema ukienda jkt acha vyeti vyako vyote kwa mtu unaemuamini akuombee mkopo ila chuo utaomba mwenyewe huko. Nimetoka jkt mwaka jana naelewa kila kitu fuata ushauri wangu usimsikilize yoyote
Mkuu , ulikuwa kambi ipi na je waliitoa facilities zipi ili kukuwezesha kuchagua vyuo?
 
Kama wengi wanavyosema ukienda jkt acha vyeti vyako vyote kwa mtu unaemuamini akuombee mkopo ila chuo utaomba mwenyewe huko. Nimetoka jkt mwaka jana naelewa kila kitu fuata ushauri wangu usimsikilize yoyote
Mkuu ni documents zipi zinatakiwa wakati wa kuomba mkopo?
 
Kwa Kambi ya msange tabora mwaka Jana walitoa room for computer wakaleta wake watu wate wanahitajika kama mwenyekiti wa Kijiji afsa kata na wakili pia mdhamin alikuwa captan au mtu unaye mwamini wee ila nivizuri uthibitishe cheti Rita ujue kabisa ni feki au og maan ndo Cha muhimu kuliko vyote vingine zinaweza tumik namba tuuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli inategemea kambi. Kijana wangu 2021 alikwenda Mgambo. Hawakupewa muda wa kufanya hizo selections na hawakuwa na simu hivyo haikuwa rahisi kukamilisha hilo zoezi. Na mkopo ni hivyo hivyo. Tuliwalaani jkt lakini ndio hivyo.
Mwaka jana, Hawakuruhusiwa kurudi majumbani kutokana na janga LA korona
 
Back
Top Bottom