Kwanini IMF itupe sisi hela ya mkopo Sasa?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Wazungu mitaala Yao yote Inafundisha elimu kuhusu critical thinking, problem solving na assertiveness. Elimu hii inawapatia wazungu wote uwezo wa kujihoji na kujiuliza wenyewe maswali kama why me (kwanini Mimi, kwanini sisi na kwanini wao?), Elimu hii inawawezesha pia kumwambia mtu NO au YES bila kusitasita, alimu hii pia anamfanya mzungu kusema kile anachota kusema kwako bila kukuvunjia heshima yako.

Kwanini IMF watupe sisi mkopo mkubwa sisi katikati ya mgogoro wa myumbo wa uchumi wa dunia? Katikati ya uhaba wa chakula, mafuta na gesi? Katikati ya vita ya Ukraine na Urusi?

Hebu tufikirie wote kama taifa kuhusu hili, kwanini sisi Sasa?
 
Kwa sababu milango ya rasilimali yetu imeshafunguliwa; inakombwa almost free of charge.

Kingine?
 
Hiki ni kipindi cha upigaji brother kaka,
Chamsingi angalia na wewe kama una mwanya wa kupiga wewe piga tu.amin kwamba utawala bora haupo kwa kipindi hiki cha MAMA ingawa wengi wamefumbwa macho.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom