mkopo

  1. Muddy105

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa vyuo vya kati

    Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
  2. fleha

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo bank gani?

    Habari zenu wakuu. Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe. Natanguliza...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  4. mike2k

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500. Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa trillion 1 kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege Pemba na barabara kilometer 800 Zanzibar pekee, uwiano wa kibajeti upo wapi?

    Maelezo ya mkopo huo mkubwa kuwahi kutokea kwa Zanzibar yapo mwisho kabisa mwa uzi huu. Hoja yangu kubwa ni uhitaji wa kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa katika kisiwa cha Pemba wakati tayari upo uwanja kama huo Unguja ambapo ni kilometer 100 tu kutoka Pemba. Pia kujenga kilometer 800 za...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa electronics tengenezeni utaratibu wa bidhaa za mkopo

    Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M... Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imetoa Mkopo wa zaidi ya Shilingi Bilioni 700 Kwenye Kilimo

    Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sanga ahoji matumizi ya mkopo wa Bilioni 350 Bajeti Wizara ya Ardhi

    MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
  10. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Mkopo wa Elimu ya Juu kwa wanafunzi wanaotoka katika kaya/familia masikini

    CHANGAMOTO ZA" MKOPO "WA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA KAYA/FAMILIA MASIKINI Makopo ya elimu ya juu ni chombo muhimu sana katika kusaidia wanafunzi wenye uwezo mdogo kifedha kupata elimu bora. Hata hivyo, wanafunzi wanaotokea katika familia masikini mara nyingi wanakabiliwa na...
  11. Fortilo

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata mkopo wa nyongeza Dola Mil 153 kutoka shirika la fedha duniani (IMF)

    Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu. Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha duniani, inaonekana Tanzania inafanya vizur licha ya changamoto kubwa za uchumi duniani . Sasa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank yaondoa rasmi Riba ya Mkopo ya 13% na Sasa ni 16%

    Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%. Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo...
  13. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Kweli HELSB inakusanya pesa za mkopo kupitia TRA kwa wanufaika waliojiajiri?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari. Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB. Je, hizi tetesi ni kweli.?
  14. J

    JamiiForums Tanzania WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Alipokuja mlimdharau mkasema ni Garasa la TP Mazembe FC sasa anatupia mnasema yuko tu kwa Mkopo na atarejea TP Mazembe FC

    Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli. Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali yako ilishawahi kukwambia masharti nafuu kwenye mkopo ni yapi?

    Niliwahi kusikia mara moja tuu sijui ni kwenye awamu gani kwamba serikali imeshindwa kuchukua mkopo wa mabilioni kutokana na masharti yake kuwa magumu. Baada ya hapo sikuwahi kusikia tena hilo bali ni serikali kuendelea kupokea mabilioni ya MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU. Je, serikali yako imewahi...
  17. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

    Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu. Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo. Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
  18. Mp4real

    JamiiForums Tanzania Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu. Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania StanChart Bank Yaipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya Sgr Lot 3 & 4

    Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4.. ======= The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa milion 1.5?

    Nataka kuendeleza biashara yangu ya studio. Plan ni kununua camera na printer machine.
Back
Top Bottom