mkopo

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Muhimbili tulioomba mkopo kwa Diploma hatujapata, HESLB wapo kimya na Udahili unafungwa wiki ijayo

    Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
  2. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  3. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani?

    Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani? Vigezo ni vipi?
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Unapokwenda kuomba mkopo bank unakumbuka kusoma vigezo na masharti?

    Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote. Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
  5. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Habari Wana JamiiForums. Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB). Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba...
  6. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania HESLB; Uzinduzi wa Maombi ya Mkopo kwa Vyuo vya kati (Certificate & Diploma)

    Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena. Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu. 6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO 6.1 Maeneo ya Kipaumbele Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa kama ilivyoainishwa katika...
  7. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania HESLB kuanza rasmi kutoa Mkopo kwa wanafunzi wa wa Stashahada (Diploma)

    Moja kwa moja. Taarifa imetoka sasa kuwa kesho ndipo uzinduzi rasmi wa muongozo wa uombaji wa huo Mkopo kizinduliwa rasmi makao makuu. Jambo hilo liliibuliwa mwaka huu kama pendekezo moja katika mkuta wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Hassan Suluhu na viongozi wa wanafunzi...
  8. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma jitahidi ukope kwa awamu zenye muda mfupi mfupi

    ELIMU YA MIKOPO BENKI Kumekuwa na malalamiko na vilio kwa baadhi ya watumishi kuhusu mikopo wanayopewa na benki. Wengi wao wanalaumu mikopo hiyo kuwa ni kandamizi kwao badala ya kuwapa unafuu imegekuka kuwakandamiza na kuyafanya maisha yao kuwa magumu. Hapa tatizo sio mikopo inayotolewa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

    Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

    Nimelipia elfu 30 ktk heslb nataka kucreate account nikibonyeza submit form inaload tu nashindwa kuendelea na mchakato hawa bodi. Nimewapigia simu Hawapokei simu zangu nimetuma adi katika instagram katika page yao wapo kimya sijui wanampango gani na mimi naomba msaada wenu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya Nyumba inayofaa Kuchukulia Mkopo Bank?

    Habari zenu wakuu, nimerudi tena kuuliza swala ambalo limekuwa likinipa shida sana mwezi huu nadhani akili imewaka mpaka sasa sijui mwisho ila sijakata tamaa. Nilifungua huu uzi hapa chini nikiomba msaada kwa mwenye msaada anisaidie kunipa nyumba yake nichukulie mkopo, Bank nilizoenda zote...
  12. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    Habarj wakuu Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika. Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa. Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business. Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
  13. Jugado

    JamiiForums Tanzania Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

    Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m. Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha. Wadau nipo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mkopo wa kuongeza kwenye biashara yangu

    Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii. Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina. Msaada tafadhari.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa dhamana ya nyumba, Msaada wenye Nyumba

    Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele. Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba). Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naweza kukopa mkopo wa kuanzisha biashara na nyumba yangu kuwa dhamana?

    Habari za majukumu wadau! Naomba kujuzwa, je naweza kwenda benki nikakopa mkopo kwaajili ya kuanzisha biashara lakini nikatumia nyumba yangu kama dhamana? Naomba kufahamishwa ktk hili..
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chelsea yakubali kumuachia Lukaku kwenda Roma kwa mkopo

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita. Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

    Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu...
  19. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu. Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic inaload tu, taarifa hazihifadhiwi. Kama umeweza umefanyaje? Msaada tafadhari.
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Shilingi Bilioni 600 kujenga upya Hospitali ya Muhimbili, Mkopo utalipwa baada ya miaka 25

    Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma. --- Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya. Mkurugenzi Mtendaji wa...
Back
Top Bottom