Hivi ni kweli ukisomesha mtoto private kuanzia primary hadi secondary, chuo kikuu hapewi mkopo?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
718
1,643
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary (English medium) hadi secondary (both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano (UDSM ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)

Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano (Primary - private) secondary (Kayumba) high school (Private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.

Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?

Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
 
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto...
Hapewi ndio

Labda pesa ya chakula nasikia,

otherwise awe na ufaulu mkubwa sana na anasomea kozi za kipaumbele kwa Taifa

Uwezo wa Serikali kugharamia kila mtu yaonekana bado ni mdogo, hivyo wenye uwezo somesheni
 
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary ( English medium) hadi secondary ( both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano ( udsm ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)

Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano ( primary - private) secondary ( kayumba ) high school ( private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.

Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?

Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.
Unaleta habari za umasikini hapa usomeshe mtoto tangu kindagati mpaka sekondali alafu uanze kupiga foleni kuomba mkopo hili aende elimu ya juu ndio kusema huko chini ulimsomesha kwa kuungaunga kuiga masikini mbavituko
 
Back
Top Bottom