mkopo

  1. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

    Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
  2. Doto12

    JamiiForums Tanzania Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
  3. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa dhamana ya nyumba/ kiwanja

    Habari, zenu wanajukwaa, Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana ya wanavyotaka wao leseni, mauzo sijui kwa miezi 6 nk. Nahitaji mkopo kupitia dhamana ya nyumba au...
  4. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
  5. B

    JamiiForums Tanzania mkopo kwa nyumba isiyo na hati

    habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya mkopo imepotea. Naipataje?

    Habarini za Asubuhi wana JF Niende direct kwenye jambo Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza simu ya mkopo, nawezaje kuipata? Sijapata msaada wa kutosha kutoka polisi pamoja na kampuni iliyonipatia mkopo

    Habarini za Asubuhi wana JF, niende direct kwenye jambo. Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE". Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7. Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash. Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu. Nakaa...
  11. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo wa milioni 5

    Nashida ya milion 5 wapendwa naeka gari dhamana la aurius Toyota Nawasirisha
  12. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa ajili ya kuendesha mradi wa ujenzi

    Habari za mchana wanajamvi, mimi ni kujana mwenye miaka 33, katika kujitafuta baada ya mapambano ya muda mrefu ya hapa na pale nimefanikiwa kupata kandarasi ya kutekeleza mradi wa taasisi mojawapo ya serikali. Mradi huo una thamani inayofikia 120M, changamoto inayonikabili kwa sasa ni mtaji wa...
  13. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    JIKO LA MKOPO. 40700/= Okoa gharama ya gesi na mkaa. Ivisha maharage Kwa Tsh 350 tu. Umeme kidogo , okoa muda jikoni Tutafute kwa namba Whatsap. 0620135671 Call and sms 0620135671
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Benki wameingia cha kike baada ya kutoa mkopo wa 50 Milioni

    Utapeli ni janga kwenye jamii yetu, angalia hapa jinsi jamaa alivyowatapeli Benki mkopo wa 50 Million. Nini maoni yako?
  15. iSirius

    JamiiForums Tanzania Mitaji inatukwamisha vijana

    Mimi ni kajana niliye fanikiwa kusoma na kumaliza Bachelor ya Business Administration. Tangu kumaliza chuo (2022) hadi leo, nimebahatika kufanya kazi katika kampuni 4 zinazojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka Nje. Kutokana na changamoto za kazi, ndo zilinifanya kuhama hama na hatimaye...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hello , nipeni muongozo wa kupata pesa za mkopo wa hazina kwa mtumishi wa umma.

    Natanguliza Asante
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Wanafunzi kuna bilioni 48 zenu za mkopo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali imetenga Tsh. bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya stashahada. Amesema hayo leo Jumanne, Januari 16, 2024 wakati wa ufunguzi wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) Mkoani Mbeya ambapo amesema...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuomba mkopo HESLB kwa kozi zilizoongezwa Januari 3, 2024 uongezwe ili kuruhusu kukamilisha maombi

    Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
  19. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Moja ya kijana ninayemsomesha ameniambia amepewa mkopo

    Wakuu Moja ya kijana naye mfadhili masomo toka primary leo ameniambia ndio amepata mkopo Kwenye process nzima alinishirikisha toka mwanzo. Ile hawamu ya kwanza aliniambia hajapata, baada ya hapo hakunipa mrejesho tena Kwa kuwa mda wa vyuo ulikua unakaribia nikafanya mchakato akapata ada na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wangapi mmewahi nufaika na online loan (mkopo) kutoka Tala

    Wakuu Sina mambo mengi, naombeni uhakika wa utoaji wa mkopo toka Tala online loan. Niko kwenye Mazingira ambayo nahitaji pesa na nimekutana na matangazo Yao online nikaona wanaweza kuwa msaada katika kipindi hiki nachokipitia. Vipi wakuu Hawa Tala online loan ni really au chqnga la macho
Back
Top Bottom