Mkopo kwa dhamana ya nyumba/ kiwanja

Behind_the_label

New Member
Mar 20, 2024
2
0
Habari, zenu wanajukwaa,

Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance

Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana ya wanavyotaka wao leseni, mauzo sijui kwa miezi 6 nk.

Nahitaji mkopo kupitia dhamana ya nyumba au kiwanja. Yoyote mwenye kulifahamu hili naomba anijuze hapa.

Nitafurahi kama akitaja na taasisi zinazokubali hilo.
 
Back
Top Bottom