Nimepoteza simu ya mkopo, nawezaje kuipata? Sijapata msaada wa kutosha kutoka polisi pamoja na kampuni iliyonipatia mkopo

Annonymous

JF-Expert Member
May 9, 2013
448
799
Habarini za Asubuhi wana JF, niende direct kwenye jambo.

Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio mwisho) nikareport kampuni ya mkopo wakanielekeza nikachukue loss report nikaenda polisi wakanipatia loss na RB kisha baada ya hapo kama kawaida elf 30 ya kuanzia nkatoa ila huu mwezi wa 2 sijapigiwa simu.

Application ya wakopeshaji nikiingia naiona simu last seen ni tar 23 juzi tu hapa. Nikawasaliana na mkopeshaji akajibu hawezi kuitafuta ni chini ya polisi na polisi wakanielekeza nirudi kwa mkopeshaji (kampuni iliyonikopesha). Wadau hivi kuna taratibu gani za kuipata hii simu. Box la simu lipo na ilikopotelea napoamini bado ipo ni maeneo ya goba, DSM

SmartSelect_20240224-092243_Easybuy.jpg
 
Habarini za Asubuhi wana JF, niende direct kwenye jambo.

Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dk. kama 30 hivi kisha ikazimwa (wakatoa line, ikawa offline ndio mwisho).

Nikareport kampuni ya mkopo wakanielekeza nikachukue loss report, nikaenda polisi wakanipatia loss na RB kisha baada ya hapo kama kawaida elfu 30 ya kuanzia nikatoa ila huu mwezi wa 2 sijapigiwa simu.

Application ya wakopeshaji nikiingia naiona simu last seen ni tar. 23 juzi tu hapa. Nikawasaliana na mkopeshaji akajibu hawezi kuitafuta, ni chini ya polisi na polisi wakanielekeza nirudi kwa mkopeshaji (kampuni iliyonikopesha).

Wadau hivi kuna taratibu gani za kuipata hii simu. Box la simu lipo na ilikopotelea ambako naamini bado ipo ni maeneo ya goba, DSM.
 
Nenda kariakoo sikumbuki ule mtaa kuna wahuni fulani wamechokaa na kulewa muda wote, wape imei hizo utaipata
 
Habarini za Asubuhi wana JF
Niende direct kwenye jambo
Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio mwisho) nikareport kampuni ya mkopo wakanielekeza nikachukue loss report nikaenda polisi wakanipatia loss na RB kisha baada ya hapo kama kawaida elf 30 ya kuanzia nkatoa ila huu mwezi wa 2 sijapigiwa simu.

Application ya wakopeshaji nikiingia naiona simu last seen ni tar 23 juzi tu hapa. Nikawasaliana na mkopeshaji akajibu hawezi kuitafuta ni chini ya polisi na polisi wakanielekeza nirudi kwa mkopeshaji (kampuni iliyonikopesha). Wadau hivi kuna taratibu gani za kuipata hii simu. Box la simu lipo na ilikopotelea napoamini bado ipo ni maeneo ya goba, DSM
Polisi wanacho kitengo cha Cybercrime kipo Central, hao ndio kazi yao na kampuni iliyokukopesha ninaamini inao uwezo wa kuifunga hiyo simu iwe nyangarakasha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom