Moja ya kijana ninayemsomesha ameniambia amepewa mkopo

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Wakuu

Moja ya kijana naye mfadhili masomo toka primary leo ameniambia ndio amepata mkopo

Kwenye process nzima alinishirikisha toka mwanzo.

Ile hawamu ya kwanza aliniambia hajapata, baada ya hapo hakunipa mrejesho tena

Kwa kuwa mda wa vyuo ulikua unakaribia nikafanya mchakato akapata ada na accommodation

Sasa leo amenipigia ameniambia amepata mkopo, nikamwabia ni jambo la kushukuru

Sasa muda huu najaribu kufanya reasoning na kupitia baadhi ya threads kule jukwaa la elimu naona tokea last year October watu wamepewa mkopo

Je, mkopo uwa unaingia mda wowote?

==
Nimeamua tu kunyamaza kwa maana maisha yenyewe ndo haya haya
 
Calm down
Wakuu

Moja ya kijana naye mfadhili masomo toka primary leo ameniambia ndio amepata mkopo

Kwenye process nzima alinishirikisha toka mwanzo.

Ile hawamu ya kwanza aliniambia hajapata, baada ya hapo hakunipa mrejesho tena

Kwa kuwa mda wa vyuo ulikua unakaribia nikafanya mchakato akapata ada na accommodation

Sasa leo amenipigia ameniambia amepata mkopo, nikamwabia ni jambo la kushukuru

Sasa mda huu najaribu kufanya reasoning na kupitia baadhi ya threads kule jukwaa la elimu naona tokea last year October watu wamepewa mkopo

Je, mkopo uwa unaingia mda wowote?

==
Nimeamua tu kunyamaza kwa maana maisha yenyewe ndo haya haya
Calm down, wengine Bado hawajapata hiyo mikopo. Japukuwa wamekuwa placed. Wengine juzi wamepewa first boom, wengine ilikuwa second boom
 
Kuna Baadhi Ya Wanafunzi Vyuoni Uchelewa Kupata Kutokana Na Kutokamilisha Vyema Taarifa Zao Japo Wanakuwa Tayari Majina Yao Yametoka Kama Wanufaikaji.

Ni Wale Ambao Walikosea Taarifa Zao Binafsi, Banks Account N.k.

Shukuru Una Kijana Mwaminifu Hadi Hapo Kukupa Taarifa Kuna Wengine Hawatoi Taarifa Kama Ni Wanufaikaji.
 
Kama nimesha lipa ada na accommodation Inakuaje?

Yupo UDSM
 
Kama yupo UDSM ni kawaida
Hata mwaka Jana, wanafunzi karibu wote walipewa mkopo mwezi wa 1 Hadi wa 2 (hii huwa inatokea pale loan officer akienda kule HESLB). Kwahyo ondoa wasi wasi kwamba kijana amekupiga
Na kuhsa ada, hyo itakua refunded though itachukua muda kidogo maana sio process ndogo
Shukuru kijana amekupa taarifa
Hajakupiga, ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuran sana.
 
Mimi ilitokea kama kwa kijana wako. Binafsi sikurudishiwa fedha ilikuwa inakatwa kwenye matumizi ya direct cost miaka iliyobakia hadi mwishoni ikamalizikia chuoni japo nilikuwa nafuatilia sana. Mungu akubariki kwa kumshika kijana mkono. NB nilikuwa hapohapo udsm
 
Mkuu, huyo kijana ni mkweli na msaidie wakati mwingine akikuhitaji....pia nakupongeza kwa kuweza kumshika mkono kipindi cha uhitaji wake. Ubarikiwe sana,tena sana mkuu.
🌹🌷🌹🌷🌹🌷🌹🌹🌷🌹🌹🌹

Zamani kidigo kuna mtu alitushika mkono familia yetu

Kuanzia hapo mm binafsi nilisema nitamshukuru kwa kusaidia wengine, ndiyo hiyo mpaka leo
 
Mi nilikuwa nasign yote mawili Yan karibua mwisho wa semester hiyo ni UDSM shida ni kubeti ..yoote 1,220,000 ililiwa nikarudi kudanganya nyumbani sijapata boom...hivyo muheshimu sana huyo kijana mtoe hata out.
 
Zamani kidigo kuna mtu alitushika mkono familia yetu

Kuanzia hapo mm binafsi nilisema nitamshukuru kwa kusaidia wengine, ndiyo hiyo mpaka leo
Nakushukuru On behalf mkuu. Mimi ni muhanga wa kukosa mtu wa kunishika mkono nikadrop chuo 2012. Ninapoona wema kama huu naguswa sana. Fanya iliyosehemu yako
 
Back
Top Bottom