mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

    Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
  2. Chadema mlishapigwa bao la mkono waacheni akina Halima wale bata, kelele zenu ni kupoteza muda

    Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea...
  3. Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa. Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye...
  4. Mratibu wa zoezi la kuunga mkono jitihada za Rais Suluhu ni nani?

    Mh. Samia Suluhu aliposema KAZI IENDELEE alimaanisha mambo yote 'mazuri' yaendelee kama ilivyokuwa kwa hayati JPM. Tunatambua kuwa mojawapo ya 'kazi' ambazo zilikuwa zikiendelea kwa kasi hapa nchini ni pamoja na 'kuunga juhudi' za Mh. Rais. Sasa inakuwaje kazi hizi haziendelei?. Je...
  5. Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

    ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya. Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
  6. R

    Bandari ya Bagamoyo ndio Benchmark kati ya wanaomuunga mkono na wanaompinga Hayati Magufuli

    Wakati wa uhai wake Hayati Magufuli aliupinga mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na alisema nii kichaa pekee ndiye anaweza kukubali masharti ya mradi. Pia wakati wa uhai wake viongozi takribani wote wa CCM walijipambanua kama wafuasi wake kindakindaki na baadhi yao wakiwemo wabunge...
  7. J

    Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  8. Namuunga mkono Spika Ndugai, ujenzi Bandari ya Bagamoyo uendelee

    Najua topic imepita, lakini ninajua kidogo kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo na napenda kumuunga mkono Mhe Spika kwa hoja zifuatazo. Na naamini Serikali yetu itazichukulia kama ushauri wa Mbunge kwa Serikali, ambao ndio wajibu wetu wa msingi kama Wabunge. Muhimu kujua background ya mradi wa...
  9. Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
  10. Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli. Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
  11. J

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  12. Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  13. 'Mwendazake' alipanda MBEGU za kujimaliza kwa mkono wake mwenyewe

    Ndio. Kila nikitafakari uongozi wa mwendazake, ni kuwa alipanda MBEGU za kujimaliza mwenyewe na hatimae kifo chake. Katika nchi yeyote, Kuna Mambo ambayo ni tunu za taifa Hilo. Kwa Tanzania, umoja na mshikamano Kati ya makabila na dini na kada mbalimbali ni tunu ilio fanya taifa letu kusimama...
  14. J

    Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

    Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani. Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
  15. Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  16. Ukweli uwe mbele: 'Walioaminiwa sana' na Mwendazake wakichunguzwa, madudu hayatatazamika. Kuungwa kwao mkono na Mwendazake kilikuwa kichaka hatari

    Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini na kumtetea sana Kakoko. Alikuwa akimsifu na kumpa 'sapoti' ya kutosha na kutisha. Rangi halisi ya...
  17. J

    Pendekezo: Kama Zitto Kabwe atagombea ubunge jimbo la Muhambwe basi CHADEMA imuunge mkono

    ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia. Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
  18. Unavaa saa mkono gani?

    Nilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa. Sababu kubwa iliyonifanya nibadilike ni mpenzi wangu pia anavaa mkono wa kushoto na anaigeuza sehemu ya kuangalia mda inakuwa kiganjani, huangalia muda...
  19. P

    Naingiwa wasiwasi mno na uungwaji mkono kutoka upinzani, Usije kuwa ni lainisha upigaji kiurahisi

    Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli. Nashindwa kuelewa kama kweli tuna upinzani uliodhamiria kuondoa Uonevu Kwa watumishi wa Umma ambapo wao kama upinzani walikuwa...
  20. Tanzania, Kenya zapewa mkono wa kwaheri AFCON

    Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku. Mchezo ukimalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 licha ya mlindalango Aishi Manula kufanya kazi kubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…