Upi mkoa bora kuanza maisha?

Mockingbird

JF-Expert Member
Jan 11, 2018
434
1,042
Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.

Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
 
Nenda Iringa ukageme ulanzi!
 
Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu.

Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu
Chakla
Makaz
Biashara
Nk
Hiyo laki MOJA, usafiri tu mpaka Ukifika Mbeya imebaki 40.
 
Taja maeneo mkuuu mimi nipo lindi huku
Sina bidhaa nataka nikafanye lolote nitakalokuta huko. Ndio mnipe fursa zinazopatikana
Jamaa wa LINDI wamelegea kama mlenda,utaenda kuolewa huko uendako,tulia ushinde hapo SANTOLINI sijui..hiyo laki jilie zako urojo tu..
 
Back
Top Bottom