#COVID19 Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

The Saver

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
202
650
Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.

Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Pia amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amechukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa na kunawa mikono.

Andengenye amesema wameandaa utaratibu mzuri wa kuweka mapipa ya maji nje ya uwanja huo wa Lake Tangnyika, ili kuwawezesha wanaoingia uwanjani kunawa mikono.
-----

Uwanja wa Kigoma una uwezo wa kujaza watu 20,000

Mkuu wa mkoa wa Mwanza hakuna mtu Yeyote kukusanyika kongamano la Katiba la watu 300 sababu kuna Corona

Waziri wa afya: Hakuna mikusanyiko yoyote

Sasa watashangiliaje?

Sifa ya ushabiki wa mpira ni kelele. Wangewazuia tu
 
Sina budi kumpa hongera na pongezi, sana mh.Mkuu wa mkoa wa kigoma,bwana thobias andengenye.Ameona mbali sana kwa kauli yake kuhusu ugonjwa hatari wa corona 3. Amethubutu,wakati hata mh.Waziri au naibu wake wa wizara ya afya na ustawi wa jamii.

Wameshindwa.Kwa kuwa kigoma imefurika na kuna uwezekano mkubwa waganda,wanyarwanda wakajipenyeza,sio vibaya mpira kati ya yanga na simba ama uaakhirishwe au uchezwe bila ya watazamaji.

Ikiwa mh. Andengenye umethubutu kukataza mpaka mabasi kutojaza watu sioni kama utashindwa la gsm na dewji. T hubutu mkuu wa mkoa, utasaidia sana kutuepusha na janga hili la corona 3. Jamani hili gonjwa likiingia kwa nguvu original, hata kwenda sokoni tutashindwa.Uchumi utadondoka.Maaskofu, mashekhe washatuasa sana sana.

Mh.Rais mpendwa naye katusihi,waziri mkuu majuzi tu naye katusihi.Gsm na dewji washapata chanjo,wakiona mambo yameharibika, wao mabilionea, watapanda ndege zao wataruka angani, watatuachia (inshaallah, mwenyezi mungu apushie mbali) matatizo. Viongozi wengine na wananchi tumwuunge mkono kwa dhati mh. Mkuu wa mkoa wa kigoma mh.Thobias.
 
Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.

Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Pia amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amechukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa na kunawa mikono.

Andengenye amesema wameandaa utaratibu mzuri wa kuweka mapipa ya maji nje ya uwanja huo wa Lake Tangnyika, ili kuwawezesha wanaoingia uwanjani kunawa mikono.
 
Mashabiki wapigwe marufuku wasiingie ,mbona hilo liko wazi wakuu wametangaza hakuna mikusanyiko.watu wa kigoma maambukizi yataongezeka kwa kukimbilia kujazana humo
 
Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.

Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Pia amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amechukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa na kunawa mikono.

Andengenye amesema wameandaa utaratibu mzuri wa kuweka mapipa ya maji nje ya uwanja huo wa Lake Tangnyika, ili kuwawezesha wanaoingia uwanjani kunawa mikono.
-----

Uwanja wa Kigoma una uwezo wa kujaza watu 20,000

Mkuu wa mkoa wa Mwanza hakuna mtu Yeyote kukusanyika kongamano la Katiba la watu 300 sababu kuna Corona

Waziri wa afya: Hakuna mikusanyiko yoyote

Kongamano la katiba waruhusiwe pia kuvaa barakoa
 
Sina budi kumpa hongera na pongezi, sana mh.Mkuu wa mkoa wa kigoma,bwana thobias andengenye.Ameona mbali sana kwa kauli yake kuhusu ugonjwa hatari wa corona 3. Amethubutu,wakati hata mh.Waziri au naibu wake wa wizara ya afya na ustawi wa jamii.

Wameshindwa.Kwa kuwa kigoma imefurika na kuna uwezekano mkubwa waganda,wanyarwanda wakajipenyeza,sio vibaya mpira kati ya yanga na simba ama uaakhirishwe au uchezwe bila ya watazamaji.

Ikiwa mh. Andengenye umethubutu kukataza mpaka mabasi kutojaza watu sioni kama utashindwa la gsm na dewji. T hubutu mkuu wa mkoa, utasaidia sana kutuepusha na janga hili la corona 3. Jamani hili gonjwa likiingia kwa nguvu original, hata kwenda sokoni tutashindwa.Uchumi utadondoka.Maaskofu, mashekhe washatuasa sana sana.

Mh.Rais mpendwa naye katusihi,waziri mkuu majuzi tu naye katusihi.Gsm na dewji washapata chanjo,wakiona mambo yameharibika, wao mabilionea, watapanda ndege zao wataruka angani, watatuachia (inshaallah, mwenyezi mungu apushie mbali) matatizo. Viongozi wengine na wananchi tumwuunge mkono kwa dhati mh. Mkuu wa mkoa wa kigoma mh.Thobias.
Ukitaka kuiona nchi chungu waambie simba na
Yanga wasicheze
 
Wewe unachotakiwa ni kuingia na barakoa ukivuka gate tu unavua na kutupa kule vine liendelee, Corona itabakia kwenye tv tu huko
 
Sina budi kumpa hongera na pongezi, sana mh.Mkuu wa mkoa wa kigoma,bwana thobias andengenye.Ameona mbali sana kwa kauli yake kuhusu ugonjwa hatari wa corona 3. Amethubutu,wakati hata mh.Waziri au naibu wake wa wizara ya afya na ustawi wa jamii.

Wameshindwa.Kwa kuwa kigoma imefurika na kuna uwezekano mkubwa waganda,wanyarwanda wakajipenyeza,sio vibaya mpira kati ya yanga na simba ama uaakhirishwe au uchezwe bila ya watazamaji.

Ikiwa mh. Andengenye umethubutu kukataza mpaka mabasi kutojaza watu sioni kama utashindwa la gsm na dewji. T hubutu mkuu wa mkoa, utasaidia sana kutuepusha na janga hili la corona 3. Jamani hili gonjwa likiingia kwa nguvu original, hata kwenda sokoni tutashindwa.Uchumi utadondoka.Maaskofu, mashekhe washatuasa sana sana.

Mh.Rais mpendwa naye katusihi,waziri mkuu majuzi tu naye katusihi.Gsm na dewji washapata chanjo,wakiona mambo yameharibika, wao mabilionea, watapanda ndege zao wataruka angani, watatuachia (inshaallah, mwenyezi mungu apushie mbali) matatizo. Viongozi wengine na wananchi tumwuunge mkono kwa dhati mh. Mkuu wa mkoa wa kigoma mh.Thobias.
Acha ujinga wewe, umeandika bango reeeefu hamna chochote cha maaana.
Hivi akili yako inaona kabisa corona ipo!!
Au unabeba tu kila kinacholetwa na television...
Nenda zako huko hakuna corona duniani.
Ila uvaaji wa barakoa ndo unaleta corona kwa 100%
 
Mara korona hakuna mara barakoa zinaleta korona, hueleweki wewe kichwa maji
 
Acha ujinga wewe, umeandika bango reeeefu hamna chochote cha maaana.
Hivi akili yako inaona kabisa corona ipo!!
Au unabeba tu kila kinacholetwa na television...
Nenda zako huko hakuna corona duniani.
Ila uvaaji wa barakoa ndo unaleta corona kwa 100%
Acha mzaha na maisha ya watu.Sio wakati wote niwakuonyesha uzwazwa ilionao.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom