Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro badilisheni kile kibao cha KILIMANJARO AIRPORT

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,257
Kile kibao pale kipo miaka na miaka hadi sasa Kinataka kuanguka chini, hakina kabisa hadhi ya kuonyesha kweli hiki ni kibao kinachoelekeza uwanja wa ndege ulipo.

Kibao kidogo mno utafikiri ni cha boda boda Jamanii kumbe kinaelekeza uwanja wa ndege tena wanaposhuka watalii na watu ma shughuli.

Badilisheni kile kibao pale haraka sana. Kinatia aibu, wekeni hata na screen kabisa inayoonyesha uelekeo na mandhari mazuri ya uwanja wetu bana.

Kibao ninachozungumzia ni kile pale njia panda ya Kuelekea KIA bara bara ya Moshi Arusha.
Acheni kukaa ofisini saa zote kana Kwamba mna obesity
 
Kwani ndege ilishawah kupotea njia kwa kukosa kibao mkuu?
Huwa hatuendi hivyo.
Hicho kibao sio cha kuelekeza ndege bali kuelekeza watu na hata wageni wa ndani na nje ya nchi kuwa uwanja Wa ndege upo hapa.
 
Uwanja wenyewe unaonaje??!!ni bora waachie watu waanikie mpunga na kupukuchulia mahindi...ndege ikiwa inatua inakwepa mashimo ushaonaga wapi??!!!iko siku itatokea departure kule!!
 
Hicho kibao ni kivutio cha utalii, wewe unataka wakiondoe........sijakuelewa yaani...
Hapana kimegongwa halafu kikapinda.,kiliwekwa miaka ya Nyuma hadi sasa ndo hicho hicho hakiendani na uhalisia wa dunia ya sasa
 
Back
Top Bottom