mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa mzuri kuliko yote Tanzania

    Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo Dar Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kagera Manyara Mwanza Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya MsingiNGAZI YA MSHAHARA: TGTS CKITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vi

    ELIMU: Elimu ya Msingi NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana. KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni) MAWASILIANO: 📞 0620282169...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilipata huduma mbaya katika Hospitali ya Mkoa Kigoma (Maweni), wajirekebishe

    Mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma niliyoipata katika Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni wakati nilipompeleka mke wangu kujifungua. Tulipofika hospitalini majira ya saa 3:00 asubuhi, hali ya mke wangu ilikuwa mbaya sana, hakuweza hata kusimama. Nilipowaomba...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya kukosekana Mochwari Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, uongozi wasema fedha imetengwa kujenga jengo hilo

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nasubiri mwenye mkoa wake atuambie bwana jumbe alikuwa na ugomvi kwenye bar na watekaji

    NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii . Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka Mnamjua au niwatajie ...... mission paralyzed
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Mrindoko azindua basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Mei 20, 2026 amezindua rasmi Basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akizungumza mbele ya Watumishi, Mrindoko amesema Basi hilo litasaidia sana Watumishi kupunguza gharama za maisha kwa kuwarahisishia usafiri. Pia soma ~ Milioni...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Arusha imekuja kuwaje? Mkoa Mzuri Ila Jamii Inaangamia

    binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu. Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  13. Chibike

    JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

    Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda. Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
  15. greater than

    JamiiForums Tanzania Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

    Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu . Pwani-wilaya ya Chalinze Dodoma na Unguja. Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Lindi Mkoa mzima hakuna mataa yakuongoza magari barabarani!

    Tuachane na mataa. Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

    Huku labda uwe unakula mihogo tu. Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani? Hafu sehemu local tu wala sio ushuani. Hii sumu 1,200/= Hapo Shoppers 850/= Huku ila mafuta bei ile ile kama mjini.
  20. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Kujivua Uanachama kwa Katibu wa Kanda na Mkoa wa Tanga: CCM na Serikali Yake Wanaogopa Mabadiliko!

    Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko Nawakumbusha ndugu zangu wa Chadema: hawa si wa kwanza, wala hawatakuwa wa mwisho. Na hii si habari mbaya tu –...
Back
Top Bottom