mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  2. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baadhi ya wanachi waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea

    Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo. Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nipo mkoa X ila gari za jeshi zimeshakuja ina maana D9 wamejua ni kweli

    Mauaji bado yanaendelea na utekaji unaendelea japo hatujuani humu ila rais anazidi kujilinda. Sehemu yenye ulinzi mkali ukiona ujue wamezikwa watu na mpaka sasa ICC imezuiwa kuingia TZ ipo mipakani Kenya ili wafiche ushahidi kwa bunduki.
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ni Historia tu na si Uchonganishi: CCM(chama cha rangi ya Alizeti) na Mkoa wa Majeshi

    Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa inawakilishwa na mikoa mbalimbali. Lakini mmojawapo ya mikoa ambayo ilitambulishwa mwaka 1985 ni mkoa...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kigoma ndio mkoa last born

    Habari Tanzania ! Unajua Mkoa wa Kigoma ni eneo linalopendwa sana hapa nchini licha ya kuwa na maendeleo vidocho ila unapendwa sana na hata watu wake ni wema sana. Ila sasa Kigoma muache kudeka deka inatakiwa muwe mnajiongeza. Nawapenda Kigoma. Bye.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa na jeshi zima la mkoa huo kutokuwa na mauaji ya raia kwenye maandamano

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mkoa upi ulikinukisha kisawa sawa, tupe top 5 yako

    1. SONGWE Oyaa wanangu wa SONGWE nawapa nambari wani, huko Tunduma kilinuka mno, Ilikuwa usiku wa kuamkia uchafuzi 28 Oktoba nyie mlitutoa usingizini 2. ARUSHA Macharii wa chuga mlitisha, Oyaaa sio kinyonge Mlipinga Kwa vitendo kwamba hamtaki Bashite na Chama cha mavii Kudos chuga boys 3...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Machifu Rukwa: Tunachukizwa sana na wanaosema wanazuia Uchaguzi na kutaka kuandamana. Rais Samia anafaa kuendelea kuongoza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Katata ametoa tamko la kumuunga mkono mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Chifu Katata amesema, Machifu mkoa wa Rukwa wanachukizwa na mipango ya baadhi ya Watanzania...
  18. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Siku ya Uchaguzi hakuna atakayebaki ndani, wote tutajitokeza kwa wingi kupiga kura

    Wakuu, Akizungumza katika kongamano la viongozi wa dini ya kiislamu leo, Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema kuwa Waislamu mkoani Mwanza wameamua kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kupiga kura kwa amani na utulivu ifikapo Oktoba 29, mwaka huu ili kulinda...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mkoa unaotoka hiki chakula kinapatikana? Mnakiitaje?

    Juzi kati nilikuwa nyumbani Missenyi, Kagera nikaenda shambani na kuibuka na hiki kiazi. Kwa Dar sijawahi bahatika kuviona, ila kwetu vipo sana na vilikuwa chakula changu pendwa. Ilibidi nikisafirishe sasa hivi najimegemea kipande kidogo kidogo nakula kwa samaki kibambala. Kwa nyumbani tunaika...
Back
Top Bottom