Arusha imekuja kuwaje? Mkoa Mzuri Ila Jamii Inaangamia

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,000
Reaction score
61,238
binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu.

Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine wanajiona kama wako South Africa au Marekani fulani hivi, pride nyingi kuliko juhudi. Badala ya kutafuta kazi au kupambana kimaisha, wengi wamegeuza kuuza mashamba ya urithi kuwa lifestyle. Unakuta kijana ana confidence ya ajabu lakini hana hata plan ya maisha zaidi ya kusubiri kiwanja cha babu kiuzwe apate hela za pombe.

Kitu kingine kinachoniumiza ni namna pombe zilivyo normalised. Karibia kila duka pombe ipo tu wazi wazi kuanzia asubuhi kabisa. Unakuta watu tayari wamelewa saa tatu asubuhi halafu jamii imeona kawaida. Halafu bado tunajiuliza kwanini vijana hawana focus.

Na hii culture ya mirungi pia watu wanaijua kabisa madhara yake lakini hawaachi. Kwa nini? Kwa sababu jamii nzima imeifanya ionekane sehemu ya maisha ya kawaida. Ukijaribu hata kukemea unaonekana kama mshamba au hujui “starehe za Arusha”. Mwisho wa siku watu wanaangamia taratibu lakini hakuna anayejali.

Halafu suala la vibaka ndio kabisa. Watu wanaisifia Arusha kana kwamba ni paradise fulani, lakini ukweli ni kwamba vibaka bado wapo sana. Bora hata Dar es Salaam maeneo mengi hali ilianza kubadilika na vibaka kupungua, lakini Arusha kuna sehemu unaona kabisa kama serikali imelala. Viongozi wanaonekana kama wapo tu kwa ajili ya vyeo, si solutions. Mkoa una potential kubwa lakini unasukumwa nyuma na uzembe na kuzoea mambo mabovu.

Na mbaya zaidi watu wengi wana ubinafsi sana. Kila mtu anajifikiria yeye mwenyewe. Kuna ile roho ya “mimi nishakula wengine watajua wenyewe”. Ukichanganya ubinafsi, uvivu, pombe, mirungi na vijana wasio na direction unapata jamii ambayo taratibu inapoteza mwelekeo.

Najua wapo watu wazuri Arusha na sio kila mtu yuko hivyo, lakini ukikaa muda wa kutosha kule unaanza kuona kuna tatizo la kijamii ambalo watu wengi wanafumbia macho. Mkoa mzuri sana lakini mentality za watu wengi zinauharibia vibaya.

Na hii bangi nayo ndio kabisa inazidi kuharibu wenyewe wanajisifia eti bangi yao ina THC kali kutokana na mazingira ya milima ya Meru na udongo wa volcano, lakini mwisho wa siku unaona kabisa impact yake kwa vijana wengi. Wengine wanaishi kama wamekata kabisa tamaa ya maisha, motivation hakuna, kazi hawataki, siku zinaishia maskani na starehe. Cha ajabu bangi ilivutwa toka zamani lakini hali haikuwa hivi. Zamani watu walikuwa wanavuta huku bado wanapambana na maisha, sasa hivi imechanganyika na uvivu, pombe, mirungi na lifestyle za kujitoa ufahamu mpaka imekuwa kama sehemu ya utamaduni fulani wa kupoteza direction.
 
ku

kuna mtu ananipa stori vijana wadogo wa arusha wanatumika sana na wazungu wanafanywa sana plus maushirikina vijana hasa wa kwenye tours company wanamiliki utajiri kumbe ni ushoga aisee arusha kweli ni bomu linalokuja kulipuka
Itachukua gharama kubwa sana kuja kupambana na hiyo hali...
 
binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu.

Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine wanajiona kama wako South Africa au Marekani fulani hivi, pride nyingi kuliko juhudi. Badala ya kutafuta kazi au kupambana kimaisha, wengi wamegeuza kuuza mashamba ya urithi kuwa lifestyle. Unakuta kijana ana confidence ya ajabu lakini hana hata plan ya maisha zaidi ya kusubiri kiwanja cha babu kiuzwe apate hela za pombe.

Kitu kingine kinachoniumiza ni namna pombe zilivyo normalised. Karibia kila duka pombe ipo tu wazi wazi kuanzia asubuhi kabisa. Unakuta watu tayari wamelewa saa tatu asubuhi halafu jamii imeona kawaida. Halafu bado tunajiuliza kwanini vijana hawana focus.

Na hii culture ya mirungi pia watu wanaijua kabisa madhara yake lakini hawaachi. Kwa nini? Kwa sababu jamii nzima imeifanya ionekane sehemu ya maisha ya kawaida. Ukijaribu hata kukemea unaonekana kama mshamba au hujui “starehe za Arusha”. Mwisho wa siku watu wanaangamia taratibu lakini hakuna anayejali.

Halafu suala la vibaka ndio kabisa. Watu wanaisifia Arusha kana kwamba ni paradise fulani, lakini ukweli ni kwamba vibaka bado wapo sana. Bora hata Dar es Salaam maeneo mengi hali ilianza kubadilika na vibaka kupungua, lakini Arusha kuna sehemu unaona kabisa kama serikali imelala. Viongozi wanaonekana kama wapo tu kwa ajili ya vyeo, si solutions. Mkoa una potential kubwa lakini unasukumwa nyuma na uzembe na kuzoea mambo mabovu.

Na mbaya zaidi watu wengi wana ubinafsi sana. Kila mtu anajifikiria yeye mwenyewe. Kuna ile roho ya “mimi nishakula wengine watajua wenyewe”. Ukichanganya ubinafsi, uvivu, pombe, mirungi na vijana wasio na direction unapata jamii ambayo taratibu inapoteza mwelekeo.

Najua wapo watu wazuri Arusha na sio kila mtu yuko hivyo, lakini ukikaa muda wa kutosha kule unaanza kuona kuna tatizo la kijamii ambalo watu wengi wanafumbia macho. Mkoa mzuri sana lakini mentality za watu wengi zinauharibia vibaya.

Na hii bangi nayo ndio kabisa inazidi kuharibu wenyewe wanajisifia eti bangi yao ina THC kali kutokana na mazingira ya milima ya Meru na udongo wa volcano, lakini mwisho wa siku unaona kabisa impact yake kwa vijana wengi. Wengine wanaishi kama wamekata kabisa tamaa ya maisha, motivation hakuna, kazi hawataki, siku zinaishia maskani na starehe. Cha ajabu bangi ilivutwa toka zamani lakini hali haikuwa hivi. Zamani watu walikuwa wanavuta huku bado wanapambana na maisha, sasa hivi imechanganyika na uvivu, pombe, mirungi na lifestyle za kujitoa ufahamu mpaka imekuwa kama sehemu ya utamaduni fulani wa kupoteza direction.
Nilimsikia Mkurugenzi wa DEA kupambana na dawa za kulevya alisema Bangi ya Arusha in vipimo ya zaidi ya 30 ambayo normal inatakiwa iwe 3.
 
Mimi naona mnakuza mambo tu. Nimeishi Arusha miaka mingi, ninafahamu watu wengi kule. Uhalifu na uhuni upo tu kama sehemu zingine Tanzania kwasababu Tanzania ni nchi masikini na waliostaarabika ni wachache.

Mnaangalia video za wale wadudu na machalii mnadhani Arusha nzima iko hivyo. Kwanza wale ni waigizaji tu wahalifu hawajianiki.
 
binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu.

Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine wanajiona kama wako South Africa au Marekani fulani hivi, pride nyingi kuliko juhudi. Badala ya kutafuta kazi au kupambana kimaisha, wengi wamegeuza kuuza mashamba ya urithi kuwa lifestyle. Unakuta kijana ana confidence ya ajabu lakini hana hata plan ya maisha zaidi ya kusubiri kiwanja cha babu kiuzwe apate hela za pombe.

Kitu kingine kinachoniumiza ni namna pombe zilivyo normalised. Karibia kila duka pombe ipo tu wazi wazi kuanzia asubuhi kabisa. Unakuta watu tayari wamelewa saa tatu asubuhi halafu jamii imeona kawaida. Halafu bado tunajiuliza kwanini vijana hawana focus.

Na hii culture ya mirungi pia watu wanaijua kabisa madhara yake lakini hawaachi. Kwa nini? Kwa sababu jamii nzima imeifanya ionekane sehemu ya maisha ya kawaida. Ukijaribu hata kukemea unaonekana kama mshamba au hujui “starehe za Arusha”. Mwisho wa siku watu wanaangamia taratibu lakini hakuna anayejali.

Halafu suala la vibaka ndio kabisa. Watu wanaisifia Arusha kana kwamba ni paradise fulani, lakini ukweli ni kwamba vibaka bado wapo sana. Bora hata Dar es Salaam maeneo mengi hali ilianza kubadilika na vibaka kupungua, lakini Arusha kuna sehemu unaona kabisa kama serikali imelala. Viongozi wanaonekana kama wapo tu kwa ajili ya vyeo, si solutions. Mkoa una potential kubwa lakini unasukumwa nyuma na uzembe na kuzoea mambo mabovu.

Na mbaya zaidi watu wengi wana ubinafsi sana. Kila mtu anajifikiria yeye mwenyewe. Kuna ile roho ya “mimi nishakula wengine watajua wenyewe”. Ukichanganya ubinafsi, uvivu, pombe, mirungi na vijana wasio na direction unapata jamii ambayo taratibu inapoteza mwelekeo.

Najua wapo watu wazuri Arusha na sio kila mtu yuko hivyo, lakini ukikaa muda wa kutosha kule unaanza kuona kuna tatizo la kijamii ambalo watu wengi wanafumbia macho. Mkoa mzuri sana lakini mentality za watu wengi zinauharibia vibaya.

Na hii bangi nayo ndio kabisa inazidi kuharibu wenyewe wanajisifia eti bangi yao ina THC kali kutokana na mazingira ya milima ya Meru na udongo wa volcano, lakini mwisho wa siku unaona kabisa impact yake kwa vijana wengi. Wengine wanaishi kama wamekata kabisa tamaa ya maisha, motivation hakuna, kazi hawataki, siku zinaishia maskani na starehe. Cha ajabu bangi ilivutwa toka zamani lakini hali haikuwa hivi. Zamani watu walikuwa wanavuta huku bado wanapambana na maisha, sasa hivi imechanganyika na uvivu, pombe, mirungi na lifestyle za kujitoa ufahamu mpaka imekuwa kama sehemu ya utamaduni fulani wa kupoteza direction.
Fanya yanayokuhusu.

Wawe na focus na maisha yao wasiwe na focus wewe hayakuhusu .
 
Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine wanajiona kama wako South Africa au Marekani fulani hivi, pride nyingi kuliko juhudi. Badala ya kutafuta kazi au kupambana kimaisha, wengi wamegeuza kuuza mashamba ya urithi kuwa lifestyle. Unakuta kijana ana confidence ya ajabu lakini hana hata plan ya maisha zaidi ya kusubiri kiwanja cha babu kiuzwe apate hela za pombe.
Moja kati ya kazi ngumu duniani... Ni kuigiza maisha mazuri. Kujiamini wakati huna kitu(maisha mazuri)... Ni ngumu balaa. Mtu kama hana maisha mazuri, kujichanga na wengine ni ngumu.

Ukikuta mtu anajichanganya na wenzake na anakonfidensi vizuri kabisa, huku maisha yake sio mazuri... Huyo lazima anatumia vileo. Na sio tu kutumia bali ni mlevi. Na ndo watu wengi wa arusha wapo hivyo.
 
Back
Top Bottom