KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
 
Back
Top Bottom