mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mbeya: TECU na TANROADS Mkoa, Wakagua Ujenzi wa Daraja la Sungwe la barabara ya TANZAM

    Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

    Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji, Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakoko, Kigoma: Hatujalipwa pesa za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma. Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo...
  5. Lagertha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wakazi wa Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini Mkoa wa Kilimanjaro

    Ningependa kuwasilisha masikitiko yangu kuhusu hali ya Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini, ni eneo linalokuwa kwa kasi, likiwa na idadi kubwa ya vijana na watoto, lakini linasahaulika katika mambo yafuatayo: Miundombinu: Barabara ya kutoka Manguzoni (mpaka wa TPC) kuelekea Shabaha hadi mjini...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

    Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe. Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani? Maisha haya nataka niyaandae...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kilimo mkoa wa Kilimanjaro

    Habari ,natafuta kijana mwenye elimu na uzoefu wa kilimo na ufugaji anaeishi Mkoa wa Kilimanjaro,,Shamba lipo Makanya Wilaya ya Same ,Shamba tumechimba maji na kuna kilimo cha mkonge kinaendelea tunataka kulima Mazao mengine ,mwenye interest kwa maongezi zaidi ani DM na my Whatsapp...
  9. Mlatino Zeshalo

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya tiles kwa nyumba ya ukubwa huu mkoani Mwanza

    Wakuu habari za majukumu, Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating, Ukubwa wa vyumba ni kama ifuatavyo: Sitting Room: 525*630 Master Bedroom: 524*385 Bedroom 1: 280*410...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vikubwa sasa viwe mfano wa UDSM kupeleka mkoa wa kagera

    Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine. Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma. Kuweka campus kubwa kuna saidia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo mkoa wa Iringa

    Mkoa wa Iringa asubuhi ya leo 9 Disemba 2025 katika siku ambayo ni Sikukuu ya Uhuru Nchini
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  13. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baadhi ya wanachi waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea

    Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo. Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nipo mkoa X ila gari za jeshi zimeshakuja ina maana D9 wamejua ni kweli

    Mauaji bado yanaendelea na utekaji unaendelea japo hatujuani humu ila rais anazidi kujilinda. Sehemu yenye ulinzi mkali ukiona ujue wamezikwa watu na mpaka sasa ICC imezuiwa kuingia TZ ipo mipakani Kenya ili wafiche ushahidi kwa bunduki.
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ni Historia tu na si Uchonganishi: CCM(chama cha rangi ya Alizeti) na Mkoa wa Majeshi

    Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa inawakilishwa na mikoa mbalimbali. Lakini mmojawapo ya mikoa ambayo ilitambulishwa mwaka 1985 ni mkoa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
Back
Top Bottom