mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mke wangu kupona COVID19 baada ya kumuombea kwa kutumia medium ya new annointing water ya TB Joshua

    USHUHUDA WA MKE WANGU KUPONA COVID 19 BAADA YA KUMUOMBEA KWA KUTUMIA MEDIUM YA NEW ANNOINTING WATER YA TB JOSHUA. Leo 22:30hrs 20/01/2021 Bwana Yesu atukuzwe ndugu zangu,Namshukuru Mungu kwa sababu ya neema yake kuu juu yangu na Familia yangu,Jina langu ni Leslie Mbena,Mume na Baba wa watoto...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa nne (04) awe na sifa kuu saba (07)

    Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora. Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum kwenye jamii. Muhusika awe na sifa zifuatazo;- 1. Awe mjane (sio aliyepewa talaka), 2. Anaweza...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani ameweka ujumbe wa Valentine kwenye bustani za White House

    Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
  4. Inog01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu uko wapi? Nimechoka kuwa single nahitaji kuoa

    Habari wanajamvi.Nahitaji kuoa sasa. Nina miaka 29. Dini mkristo Kazi nimejiajiri. Nahitaji msichana atakayekuwa mke wangu Umri asizidi miaka 27 . Dini awe mkristo Akiwa mweupe ama maji ya kunde ni vizuri zaidi, asiwe chibonge. Niko serious aliyetayari ani PM tafadhari.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngumu sana kupata mke wa kuoa

    Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu sikuijali sana 4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi, Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kufurahia anguko la Mume

    Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi). Wakati...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

    MUHIMU: PICHA HII SIO YA PAKA WA HAPA KWETU Hapa kwangu napoishi tuna paka, Sio mimi niliemleta bali ni mke wangu. Hatuna tatizo la panya kwa hio bado sielewi paka anahitajika wa nini. Kuna jirani ana fuga ngombe huwa anatuuzia maziwa nyumba chache, Mke wangu alilipia ujazo wa ziada...
  8. Mwanga Mkali

    JamiiForums Tanzania Ukioa mke mmoja akili haifanyinyi kazi!

    Amani iwe kwenu! Natoa wito kwa wanaume ili upate mafanikio ya haraka, oa mke zaidi ya mmoja, utaona nacho maanisha.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mwanamke aliyetayari kwa marriage si ngono. Sijawahi kuoa ila ninaye mtoto wa kike wa miaka 7. Umri wangu miaka 39. Mbali na tabia njema, pia ninavutiwa na mwanamke maji ya kunde, mrefu wa kawaida, asiwe na asili ya unene maana mi ni mwembamba. Awe mcha Mungu Mkristo wa dhehebu...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kutana na kijana Issa Haruna, mke wake na mwanae

    Mbali na jina lake Issa Haruna, jijini Mwanza, hasa eneo la Kirumba anafahamika kama Issa Mapilau kutokana na uwezo aliyonao wa kula chakula kingi. Kwa sababu hiyo, pia mitaani wamempa majina mengi, baadhi humwita Matonge na wengine Mapleti. Issa mwenye uzito wa kilo 85 na umri wa miaka 27, ni...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree. Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo. Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hamis Talatale: Sijamtoa kafara mke wangu ili nipate ubunge, nilimpenda sana haina mfano!

    Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili apate ubunge Taletale amesema huo ni uzushi mtupu na alishaupuuza. Babu Tale amesema hizo zilikuwa...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke Sifa za muhitaji .Mrefu .Mweusi .Diploma ya afya(mwajiriwa gov) .Mwembamba kiasi .Miaka 32 Naishi Dodoma mjin Sifa anayehitajika .Urefu wa wastan .Maji ya kunde au mweupe .Elimu kuanzia std 7 .miaka 26-30
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

    Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

    Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Askofu avuliwa nafasi za kuhudumia Kanisa kutokana na kashfa ya kutoka kimapenzi na mke wa mtu

    Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bob Wine ana mke mzuri sana

  18. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Ajichoma moto Baada ya Kumfumania mke wake

    Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake. Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakuta Binti Mzuri, ana Shape unasema Mke Huyu. Kumbe nyuma ameweka kitunguu!

    Jambo hili limeniumiza moyo sana.miaka ya nyuma waliokuwa wakisemwa sana kwa michezo hii ya matumizi kinyume na Maumbile walikuwa ni Zanzibar, Tanga na Mombasa. Siku hizi na mikoa mingine wameiga.hasa Dar es salaam. Kwa Zanzibar,Tanga na Mombasa Tamaduni zao zilikuwa zinajenga kuwa binti...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana tumia njia hizi 2 kumjua mke sahihi wa kumuoa

    Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points. 1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza kwa kuuliza wewe nani? Hapo unaoa mwanamke asiye na akili za kutosha au unamuoa mtu mwenye tabia za...
Back
Top Bottom