Ammwagia tindikali (acid) kisha akamuua mchepuko wake

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
AMWAGIA TINDIKALI (ACID) KISHA AKAMUUA MCHEPUKO WAKE

Mume wa mtu nchini Kenya, Evans Karani (38) ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mchepuko wake kwa jina la Catherine Nyokabi (25) huko Juja, Kiambu.

Kwa mujibu wa television ya K24 na Standard Media, Mamlaka za serikali nchini humo zimesema uchunguzi wa awali umebaini wawili hao walikuwa na ugomvi takribani wiki mbili kabla. Evans anatajwa kuupakia kwenye gari lake mwili wa mdada huyo ukiwa ameharibika kwa majeraha ya vipigo na kuungua.

Lakini akiwa njiani gari lilikwama kwenye matope na kuamua kuliacha na mwili wa mdada Kisha yeye kukimbia.

Wananchi eneo hilo waliwataarifu police ambapo uchunguzi wa usajili wa gari ndio ulibaini umiliki wa Evans. Evans ambaye ana mke anadaiwa kukiri kumuua Catherine ambaye alikuwa mchepuko wake

Baba wa Catherine akizungumza amesema awali waliambiwa kafa kwa ajali lakini baada ya kuona mwili wa mwanae ishara zilionesha sio ajali. Mamlaka za uchunguzi zimekaririwa zikieleza kuwa inaonekana Catherine alipigwa kwanza Kisha kumwagiwa kimiminika Cha kemikali kuunguzwa.

Baba mzazi wa Catherine amesema binti yake aliwahi Kumtambulisha huyo mwanaume kuwa Ni wapenzi, hivi karibuni akamwambia hawako sawa baba'ke akamwambia Kama Ni hivyo Haina haja ya kuwa kwenye mahusiano yanayokunyima amani na furaha na baada ya hapo hakusikia Tena habari za huyo jamaa mpaka akaletewa taarifi za kifo cha binti yake

69584b1bcd423f042b59c12388ac6113.png

174c813420e6d2c2431f24d0fab4bb78.png

1fe8cd974d90ed93ce43b3c2228650a8.png

ec464c01c8e6f82ec78a9de454f734da.png
 
AMWAGIA TINDIKALI (ACID) KISHA AKAMUUA MCHEPUKO WAKE

Mume wa mtu nchini Kenya, Evans Karani (38) ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mchepuko wake kwa jina la Catherine Nyokabi (25) huko Juja, Kiambu.

Kwa mujibu wa television ya K24 na Standard Media, Mamlaka za serikali nchini humo zimesema uchunguzi wa awali umebaini wawili hao walikuwa na ugomvi takribani wiki mbili kabla. Evans anatajwa kuupakia kwenye gari lake mwili wa mdada huyo ukiwa ameharibika kwa majeraha ya vipigo na kuungua.

Lakini akiwa njiani gari lilikwama kwenye matope na kuamua kuliacha na mwili wa mdada Kisha yeye kukimbia.

Wananchi eneo hilo waliwataarifu police ambapo uchunguzi wa usajili wa gari ndio ulibaini umiliki wa Evans. Evans ambaye ana mke anadaiwa kukiri kumuua Catherine ambaye alikuwa mchepuko wake

Baba wa Catherine akizungumza amesema awali waliambiwa kafa kwa ajali lakini baada ya kuona mwili wa mwanae ishara zilionesha sio ajali. Mamlaka za uchunguzi zimekaririwa zikieleza kuwa inaonekana Catherine alipigwa kwanza Kisha kumwagiwa kimiminika Cha kemikali kuunguzwa.

Baba mzazi wa Catherine amesema binti yake aliwahi Kumtambulisha huyo mwanaume kuwa Ni wapenzi, hivi karibuni akamwambia hawako sawa baba'ke akamwambia Kama Ni hivyo Haina haja ya kuwa kwenye mahusiano yanayokunyima amani na furaha na baada ya hapo hakusikia Tena habari za huyo jamaa mpaka akaletewa taarifi za kifo cha binti yake
Mtu ana mke bado ana wivu kwa mchepuko balaa,!Mungu apishe mbali.
 
Nao hawaachi hizi tabia
Kenya mnaendeleaje Tony254
Watanzania mnakuwanga na ujinga sana. Must everything be a matter of stupid comparisons/competition? Kwa hivyo Tanzania ndio mambo kama haya hayatokei? Hii obsession yenu na Kenya is sickening

Umekuja kunipigia za uso mkuu

Back
Top Bottom