Mke ni mama wa watoto wako, tafadhali wachagulie kilicho bora

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,506
27,002
Ndugu zangu!

Hii ni zawadi kubwa na ya kwanza unayoweza kuwapatia wanao kabla hata hawajazaliwa. Wapende na uwaheshimishe wanao, wachagulie mama bora chini ya jua.

Hata kwa mujibu wa mandiko matakatifu, Jehova alifanya vivyo hivyo. Na hata Yesu alipoandaliwa mwana-punda, ni yule asiyepandwa.

Kulingana na mazingira na kwamba si wakamilifu, lakini angalau kuna wale wenye afadhali.

Hebu jipe tafakuri kidogo tu. Kabla uchukue mke kwa kigezo cha ufundi kwenye mambo yetu. Eti uliingia kwake kwa kujua kabisa ni cha wote, ila tu akakunogesha na kumfanya mama watoto!

Hayo maziwa unayolamba hovyo na kupitisha dushe lako, na wajuba kadhaa wamefanya hivyo miaka kadhaa kabla yako. Hicho ndicho chakula kikuu cha kila mwanao kwa miaka miwili. Bado utasema unawapenda?

Ni kweli hatuna usafi kivile chini ya jua, lakini walau basi uwe na wivu wenye upendo kwa wanao.

Chagua kilicho BORA.

1619515784011.png

 
Vijana wa sasa wanajitahidi kuwachagulia watoto wao mama wenye makalio makubwa na uwezo wa kucheza mziki clubs,kubugia vilevi,kununua kila fashion ya nguo,mikoba na viatu..baada ya miaka kadhaa anakuja kulalamika hapendwi na watoto na mke amemtenga
Halafu muda wote unakuta wapo busy instagram wakipost picha za kuwaonesha watu hayo makalio yao!! Wamefuga makucha marefu kama majini! Kope za bandia kama mashetani! 👹
 
Wakati huo mkiwa mnajiandaa kutafuta mama bora wa watoto wenu, jitahidi na nyinyi muwe bora hivyohivyo.
Shetani haishi na Malaika,
Mungu hukupa unachostahili na wala si kile unachotaka.
Jipime,je,unastahili?

Inasikitisha sana kuona mabinti wazuri,wenye nidhamu,waliojitunza wanaangukia kwa wanaume wa hovyo.

Kila mwanaume anataka binti aliyejitunza,ila wanaume waliojitunza ni wachache ukilinganisha na lile kundi ambalo hawakujitunza..hii inapelekea kwa asilimia kubwa binti kuangukia wa wale wahuni.

Wanaume hebu huruma iwaingie basi japo kidogo,
Anzeni kuwa wema ili kuwapa mabinti waaminifu uwanja Mpana wa kupata kilicho bora.
 
Hapo kwenye kunyonya maziwa umenihuzunisha sana yaan hapa nimenywea ghafla
Namuona mwanangu ananyonya dah
Nimewaza kbla mm wajuba washalifakamia sana hili nyonyo na pengine hukute wameipitishia dushe katikati km wanatom** vile halafu wamemwagia ugiligili kwenye nyoyo hii (km ni mdau XHAMSTER utakuwa umenisoma)
Leo hii mwanangu nae analifakamia dah
Nimemuonea huruma ghafla nimemtoa kwenye nyonyo nimemkumbatia mamaake anashangaa vipi (nimejibu tu kimoyomoyo kwenda zako kule) yaani nimepata nae hasira ghafra km nimetafutiwa vile wakati nimempenda mwenyewe 7bu ya msambwanda umbo namba nane
Ukizingatia nilivyompata dah ! acha tuu mkuu uzi umenisononesha sana

Aisee naungana na Jokajeusi BIKIRA MUHIMU sana kampeni ys BIKIRA iendelee
 
Hapo kwenye kunyonya maziwa umenihuzunisha sana yaan hapa nimenywea ghafla
Namuona mwanangu ananyonya dah
Nimewaza kbla mm wajuba washalifakamia sana hili nyonyo na pengine hukute wameipitishia dushe katikati km wanatom** vile halafu wamemwagia ugiligili kwenye nyoyo hii (km ni mdau XHAMSTER utakuwa umenisoma)
Leo hii mwanangu nae analifakamia dah
Nimemuonea huruma ghafla nimemtoa kwenye nyonyo nimemkumbatia mamaake anashangaa vipi (nimejibu tu kimoyomoyo kwenda zako kule) yaani nimepata nae hasira ghafra km nimetafutiwa wakati nimempenda 7bu ya msambwanda umbo namba nabe
Ukizingatia nilivyompata dah ! acha tuu mkuu uzi umenisononesha sana

Aisee naungana na Jokajeusi BIKIRA MUHIMU sana kampeni ys BIKIRA iendelee
 
Niongezee.

Usiangaike kuvaa nguo safi ilihali mwili wako una matope.
Unapoamua kuwa mzazi jua dhamana ya watoto wako haipo kwa mama yao pekee, anza kubadirika wewe baba kwanza kuwa baba bora ndio uwataftie wanao mama bora.
 
Back
Top Bottom