mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Unaweza kuoa mke mwenye sura Personal na akakupasua kichwa tuu!

    Kwema Wakuu! Kuna ile kasumba ya wanaume waoga, wasiojiamini wanaosema kuwa, Kuoa Mwanamke mzuri ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya Kayumba. Acheni uoga vijana. Yaani uache kuoa Pisikali imenyooka kisa misemo ya waoga, wasiojiamini au Watu waliokataliwa na warembo. Labda sio...
  2. S

    Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

    Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru! Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari napataje kazi nyingine. Lakini nikiwa bar nimegundua ukituliza kichwa sawasawa huku ndiko waliko wake wa...
  3. The Assassin

    Brother kaongeza mke wa pili, nimefurahi sana

    Nina brother wangu, tunachangia mzee ila kila mtu yuko na mama yake. Brother ananizidi kama miaka 6. Miaka ile nakuja kusoma chuo kikuu, nilifikia kwa brother kwa sababu yeye tayari alikua anafanya kazi hapa Dar ila immediately baada ya mimi kuja akahamishiwa mkoa mwingine hivyo akaniacha na...
  4. Moronight walker

    Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  5. tpaul

    Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
  6. sanalii

    Moja ya watu wa kuwa nao makini kuhusu mke wako ni dada zako

    Kama mwanaume ndio au miongoni mwa waliofanikiwa kwenye familia, usipokuwa makini utagombanishwa na mke wako. Dada zako watajifanya wana extra caring ya kumzidi mkeo + majungu kibao. Kuna muda ni wifu kuwa wao hawafanyiwi na waume zao unayomfanyia mke wako na wapo pia hawaoneshi caring kwa wae...
  7. Issuna

    Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

    Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali. Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nilikuwa katika distance relationship na Mpenzi A (mama mtoto wangu) Kutokana na umbali...
  8. Travis Kitengo

    Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  9. Dasizo

    Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

    Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
  10. sky soldier

    Ungefanya nini ? unagundua kila mwaka mke huenda kwao kutambika baada ya kuona watoto wamerudi na chale walipomsindikiza mama yao.

    Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume. Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k. Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe...
  11. F

    Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

    Habari wadau. Video inajieleza vizuri
  12. ESCORT 1

    Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

    Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85. Ameacha watoto watatu...
  13. F

    Mfumo wa kusaka Mke/ Mume unaotumika Uarabuni mzuri sana. Dkt. Zakir Naik (islamic scolar) anamtafutia mke mwanae kwa Tangazo kama ajira vile

    Habari wadau Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa. Mfano tazama tangazo la Dr Zakir Naik ambaye ni islamic scolar maarufu duniani.. la kumtafutia mwanae wa kiume mke wa kuoa...
  14. nzalendo

    Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

    Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana? Rejea, akufaae kwa dhiki.
  15. tpaul

    Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

    Ukistaajabu ya Musa hujaona ya Firauni. Hivi majuzi nilikuwa mitaa fulani nikapita karibu na maskani ya padre mmoja wa kanisa katoliki. Kwa mbali nikamuona mwanamke wa makamo anafanya usafi na kulisha mifugo. Haujapita muda mrefu nikakutana na kijana na kumuuliza kama padre yupo akanijibu padre...
  16. sky soldier

    Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

    Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke. Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
  17. maroon7

    Mke halali wa Akon vs michepuko yake

    Huyu ndiye mke wa ndoa wa Akon aliezaa nae watoto watano. Walifahamiana tangu wakiwa na miaka 20. Watoto wengine wanne amezaa nje ya ndoa Hawa ni baadhi ya michepuko wa Akon
  18. BARD AI

    Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa mke wa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kwa jina la Bilionea Msuya, Miriam Mrita, anayetuhumiwa kumuua wifi yake, Aneth. Mbali na Mrita mshtakiwa mwingine aliyekutwa na kesi ya kujibu...
  19. Masaki road

    Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

    Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni. Tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo...
  20. blogger

    Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

    Unamuuliza hakujibu, Shida nini hakujibu Umekosea wapi!? Hakujibu Yani yupo kama yupo tu!? Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu. Unamaliza , yupo tuu.. Yani yupo tu. Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki. Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Back
Top Bottom