Jamaa amchoma visu Mke wake baada ya kumfumania

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote hapa JF kwasababu najua ni lazima wataufuta huu uzi.

View attachment 2912126
Wapi huko
 
Hii video ukiangalia km ulikuwa na mihaadi na mke/mume wa mtu na namba unablock.
 
Tuhimize uaminifu ktk mahusiano,viongozi wa dini kwa nafasi zao wazee kwa nafasi zao sisi ma-bro kwa nafasi zetu na huko kote tunaposhauriwa tuwe wepesi kuzingatia.

Hakuna option nyengine kama kuoana lazima watu waoane au lazima watu wawe wapenzi so siyo kitu rahisi kuzuia mambo kama haya.
 
Back
Top Bottom