Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,881
6,307
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
 
Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.

Hapo uliposema "mpaka ujishushe"

Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness

A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)

Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
 
Tanzania tuna kundi kubwa sana la wajinga.

Kuthibitisha hilo Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuamini ushirikina Africa. Imagine karne ya 21 modern era ila tunaamini ushirikina. Huu ni ushahidi wa wazi kwamba ni Ngumu sana kupata mke ama mume Tanzania ambaye haamini ushirikina.

Pili imani za dini na kupenda miujiza zimetuteka sana. Manabii wamejaa kila sehemu wanaombea watu. Manabii wanaponesha viwete na wagonjwa wa kansa na ukimwi.. cha kushangaza hao manabii huwezi waona wameenda hospitali muhimbili ama ocean road kuponesha wagonjwa wanaoteseka kwa hayo magonjwa waliojaa hospitali.
 
Kuthibitisha hilo Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuamini ushirikina Africa
Kwa hiyo Tanzania tunaizidi Nigeria?
Pili imani za dini na kupenda miujiza zimetuteka sana. Manabii wamejaa kila sehemu wanaombe watu. Manabii wanaponesha viwete na wagonjwa wa kansa na ukimwi
Hao manabii wafanya miujiza wanapokwenda Nigeria huwa wanaenda kufuata hela au kupata nguvu zaidi za kuendesha miujiza yao?

Naona una uelewa mdogo sana kuhusu uchawi bwashee.
 
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Ukweli mtupu,ukitumia sana akili unakosa mke au Mume,mchague mmoja maisha yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tuna kundi kubwa sana la wajinga.

Kuthibitisha hilo Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuamini ushirikina Africa. Imagine karne ya 21 modern era ila tunaamini ushirikina. Huu ni ushahidi wa wazi kwamba ni Ngumu sana kupata mke ama mume Tanzania ambaye haamini ushirikina.

Pili imani za dini na kupenda miujiza zimetuteka sana. Manabii wamejaa kila sehemu wanaombe watu. Manabii wanaponesha viwete na wagonjwa wa kansa na ukimwi.. cha kushangaza hao manabii huwezi waona wameenda muhimbili ama ocean road kuponesha wagonjwa waliojaa hospitali
Watanzania
Watanzania tunahitaji
Kusahau yoote tuliyojifunza tukiwa watumwa na kuanza kujifunza upya yale mambo tunayoyahitaji.

Tunahitaji kujifunza mambo tunayoyahitaji .
Mfano:
1. Historia yetu ya kweli
2.Magic
3.Numerology
4.Magic
5.Astronomy
6.Relationship skills
Etc.

Boys need to be taught how to become men.
It is not easy to be devine masculine man.

Niseme
Fikiria kila mtanzania angekuwa kwenye default God mode
Namaanisha bila ya kuwa manipulated na kuwa intoxicated with false nerative and shit.
 
Back
Top Bottom