Kesi ya mke wa bilionea Msuya imenifanya nikumbuke misemo na nahau zifuatazo

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Hii ndiyo misemo unayoweza kuikumbuka dhidi ya ushindi wa mke wa bilionea!

1. Anaye cheka mwishoni hucheka sana
2. Tamaa mbele mauti nyuma
3. Mchuma janga hula na nduguze
4. Heri kumwagwa kuliko kumiminwa
5. Haiwi imekwisha hadi iishe
6. Ghafula bin vuu
7. Ukitaka kuruka agana na nyonga
8. Leo vigeregere kesho kelele
9. Kufa kufaana
10. Marehemu hana chake
11. Mali inaua
12. Mtegemea cha nduguye hufa masikini
13. Aliyepewa hapokonyeki
14. Mpira unauma lakini hukumu inatonesha
15. Mario hanaga wivu
16. Leo mkeo kesho lishangazi
17. Wazee wa baraza hawavumi lakini wamo!.....

Ni msemo gani mwingine ungekuvutia katika ushindi huu? Tupia hapa
 
Wazee nao wachawi ( Kwa Tanzania lakini)

Alisema Whouzu kwenye wimbo..inamaana dada Wa Msuya alijiua according Kwa Wazee Na Majaji

Same scenerieo YA kesi YA Ditopile
 
Wazee nao wachawi ( Kwa Tanzania lakini)

Alisema Whouzu kwenye wimbo..inamaana dada Wa Msuya alijiua according Kwa Wazee Na Majaji

Same scenerieo YA kesi YA Ditopile
Twende kwa misemo tu!
Mramba asali hajui maumivu ya nyuki
 
Back
Top Bottom