Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,485
5,818
Yaani 😮‍💨😭
Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani.

Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo.

Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha mwaka mmoja na miezi mitatu alikuwa hana kabisa huo mchezo, ila miezi hii minne kiu yake ya huko uwani imekuwa kubwa na kunisababishia kero.

Nimemwonya kwamba sitokuja kufanya dhambi hiyo, naye anasisitiza kama sitaki basi nimwache huru atafute atakayewezana naye.

Huyu mwanamke tayari nina mtoto mmoja nimezaa naye, ana akili sana ya maisha. Ni mbunifu sana wa biashara na anajua kuzisimamia.

Anaupendo sana kwa ndugu zangu na ndugu zake na majirani pia. Ana kila tabia nzuri isipokuwa hiyo tu.
 
_20240222_221629.JPG
 
Mh kazi kweli kweli🙄
Umeshindwa hata kumuuliza huo mchezo ameuanza lini je kipindi ambacho mpo tayari kwenye mahusiano ya uchumba au kabla ya hapo?

Na kama ndani ya mahusiano meaning hakuwa mwaminifu kwako na hata kama alianza kabla ya kukutana nawe basi hakuwa msafi kama unavyojaribu kumsifia.

Mpaka mwanamke anaanza kutamani nyuma maana ake mbele hapampi mzuka wala raha ya tendo.

Uzuri wa mapenzi kwa mwanaume ni kujua kuwa amemfikisha na kumkuna partner wake kweli kweli, sasa kama huyo anasisitiza nyuma nawe hutaki meaning you guys are sailing in different boats right now.

Kwa kusema haya najua ushaelewa what you should do for the inner peace of your heart mkuu.
 
Heshima gani zaidi ya kupona? Basi kama unahitaji heshima endelea kuishi na pepo
Sijakuelewa bado, samahani, wengine vichwa vyetu vina uzito wake kwenye kuelewa kwa haraka. Sio kila mwana JF ni bright
 
Heshima gani zaidi ya kupona? Basi kama unahitaji heshima endelea kuishi na pepo
Sijakuelewa bado, samahani, wengine vichwa vyetu vina uzito wake kwenye kuelewa kwa haraka. Sio kila mwana JF ni brigh
Mh kazi kweli kweli🙄
Umeshindwa hata kumuuliza huo mchezo ameuanza lini je kipindi ambacho mpo tayari kwenye mahusiano ya uchumba au kabla ya hapo? Na kama ndani ya mahusiano meaning hakuwa mwaminifu kwako na hata kama alianza kabla ya kukutana nawe .
uchumbani hakuwa hivyo, nakiri kabisa nilizini, nisamehe kwa kutembea kabla ya ndoa
 
Huo mchezo alishazoeshwa huko nje; ukishindwa, mabaharia tunaingia kazini, nakushauri uendelee kuichapa hivyo hivyo, hiyo ni siri ya ndani, mkizeeka mtaacha wenyewe.​
Kwa ushauri wako unadhani nitaingia mbinguni kweli?
 
Back
Top Bottom