mke wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Maswali mengi yaibuka baada ya kupotea kwa mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe. Mkewe asimulia kilichotokea. Jeshi La Polisi latoa tamko!

    Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano. Vicent...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kikongwe miaka 72 auawa na mkwe wake Moshi,mwingine ajinyonga kwa msongo wa mawazo

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
  4. PSL god

    JamiiForums Tanzania Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

    Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

    Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na...
  6. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Jamaa kampa talaka mke wake

    Habari wakuu. Nilileta andiko hapa la mchizi wangu wa Italy kufuma meseji kwenye simu yake akichati kimahaba na mwanaume mwingine. Jamaa baada ya kukaa kikao cha familia ili ipatikane suruhu lakini mchizi wangu alishindwa kuvumilia. Siku ya Leo jumapili amempa TALAKA tatu yaani sio Mke wake...
  7. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

    Habari wakuu. Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na wakafunga ndoa. Mwaka huo WA 2018 aliondoka akamuacha mke wake Na ujauzito akarudi 2020 kutoka Italy...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania BASI BWANA!Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala

    BASI BWANA! Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala. Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau moja. Nilisikia kila walichokuwa wakijibizana. Hata ilipofika zamu ya mke kupigika, nilisikia sauti ya...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mzee atoa machozi kisa mke wake. Watoto acheni ubaguzi badilikeni.

    Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
  10. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  11. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

    Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama! Nikawa najiuliza nimepatww na nini? yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳…. Sasa juzi homa imechochea leo nimeendaa naambiww nina UTI. Je, ni kawaida?
  12. Mributz

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Bonny Mwaitege afariki dunia katika ajali ya barabarani

    Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Bonny Mwaitege amefariki dunia katika ajali ya barabarani. Bony alifariki katika ajali hiyo baada ya kutoka katika tamasha. Ni mmoja wa mwanamuziki wa nyimbo za injili anayejulikana Afrika Mashariki. Atakumbukwa zaidi kwa nyimbo zake kama vile...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

    Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kanye west na mke wake

    Sasa hio fashion si mzigo na mateso Kwa mkewe Bianca
  16. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake. Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Anapanga kufanya kisasi kwa Mke wake

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii, Nini maoni yako?
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jamaa amchoma visu Mke wake baada ya kumfumania

    Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi. Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote...
  20. Daydream

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupigwa na mke wake ni uzembe wa hali ya juu

    Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda nataka nimtongoze lakini je nikishamuoa na akawa mke wangu je nitaweza kumudu kupambana nae pindi...
Back
Top Bottom