Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na amesema akitoka London asinione la sivyo ataniua
Wakuu si mnakumbuka post yangu ja jana ya kumla...
Imetokea leo mchana maeneo ya kituo cha bandari Kurasini. Kuna jamaa ana ofisi yake (frame) ya kuziba pancha na kuongeza upepo ni jirani yetu kabisa na ofisi yetu ndogo (branch) ambayo huwa napita siku moja kila wiki.
Huyu jamaa ni mkimya sana sijawahi kuzoeana nae ila salamu tu na nimewahi...
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.
Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana nimechoka kabisa
Kuna yule Mc comedian,mgogo, na kuna kipindi alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari baada...
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu.
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu...
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali isiyohamishika.
Pia, Renay atabaki na nyumba 1, atalipwa Tsh. Milioni 46.7 kwaajili ya gharama za...
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.
Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo!
Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo!
Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi!
Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha...
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala.
Mwanaume anajiona...
Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
Kayaandika haya
KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyefahamika kwa jina la Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati akiwa amelala majira ya saa sita usiku, kisha kuuchukua mwili na kuutumbukiza kisimani kwa...
Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye...
Anaandika Robert Heriel.
Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe.
Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo.
Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji.
Ndio...
Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi...
Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo!
Iko hivi,
Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu...
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.