mke wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Beki wa Man City ajutia usaliti kwa Mke wake

    Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake. Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV. “Nilichokifanya...
  3. Mmawia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

    Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya. Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm. Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Najua mke wake alipo, je? nimuonyeshe?

    Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu, Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi, Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho...
  6. Dexta

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

    Habari zenu, Leo wakati tupo tunagonga moja mbili kuna jamaa akasema kamnunulia Mkewe Sex Toys ili awe anajiridhisha mwenyewe akiwa amesafiri kikazi. Jamaa ni Mfanyabiashara na huwa anasafiri mara kwa mara muda mwengine hata Mwezi hayupo kwake. Hili suala limenifanya nijiulize maswali ambayo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

    Tumaini Luvanda (35) mkazi wa Dombwela wilaya ya Makete mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36)...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
  10. John Sin

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  11. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
  12. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Alinifata Akiwa Anahisi Mke Wake Anachepuka.

    Au pengine hamtaki tena. Kwa kuwa alikua hapati penzi tangu mwaka jana, akipata mpaka aombe sana… Mke wake alikua anamkoromea sana, alikua anakuja juu mno… Alikua anagombana na mke wake kwa vitu vidogo na vya kawaida. Ambavyo vilikua haviwagombanishi au kuleta shida… Na kukazia hilo kuna...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyemng'oa jino na kumjeruhi mke wake akamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mke wake aitwaye Jackline Mkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini humo. Akitoa taarifa hiyo leo Mei 28, 2023 Kamanda wa...
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  15. Labani og

    JamiiForums Tanzania Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

    Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti. Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja. Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti...
  16. Billionaire101

    JamiiForums Tanzania Amuua mke wake kisa tamaa ya mali

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 56 Mkazi wa Buzilayombo Wilayani Chato Mkoani Geita anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumuuwa Mkewe aitwaye Kasaka January (48) kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake chanzo kikidaiwa kuwa ni tamaa za mali zilizokuwa zinamilikiwa na Mwanamke huyo...
  17. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  19. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Brother wangu wangu amesema nitoke nyumbani baada ya kumla mke wake, kwahiyo amesema akitoka London asinikute nyumbani! Najuta kumla mke wa kaka sheme

    Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na amesema akitoka London asinione la sivyo ataniua Wakuu si mnakumbuka post yangu ja jana ya kumla...
Back
Top Bottom