Mke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali .
Hata hivyo Jose Chameleone amepinga kulazimishwa kusaini wosia wa mgawanyo wa mali wakati yeye akiwa bado hai na mzima wa afya...
Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda
Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda
Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu
Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu.
Adam...
Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi.
elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially.
Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
Katika masuala ambayo huwa siyaelewi ni hili. Huu ni mfano mmoja tu kuwa wanaume tunapitia mengi chini ya mapaa ya nyumba zetu wenyewe.
Wanaume wanaopigwa na wake zao sio wengi saana lakini wanaume wanaokuwa verbally, emotionally na psychologically abused/tortured na wanawake ni wengi saana...
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na itakuongezea heshima
35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Huenda jamaa kamuua mke wake.
Na hii story ametengeneza kama Alibi.
Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi.
Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa.
Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi.
#UziTayari
Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri.
Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine.
Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama!
Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na mnamaliza staili zote za mibinuko unamwita mama?
Au mimi mshamba? Hii ni heshima au ndio mapenzi? Na nyie...
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔
==
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.
Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...
Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae.
Jamaa alikua anatuhadithia mambo wanavyofanya kwenye 6*6, mengine si mazuri. Yeye alidhani ni chapa ilale...
Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
ataka
baada
brown
chris brown
kulipia
kuona
kupiga
kuvunja
kuvunja ndoa
mahaba
milioni
milioni 2
mkemkewake
mume
mwanaume
ndoa
picha
talaka
wake
zambia
Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari.
Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani;
"CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.