Beki wa Man City ajutia usaliti kwa Mke wake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
1706546825978.png

Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake.

Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV.

“Nilichokifanya ni kibaya mno,” alisema, huku akimuomba radhi mke wake Annie Kilner, ambaye ni mjamzito, na ambaye tayari wana watoto watatu pamoja.

“Matendo yangu yamesababisha maumivu makubwa kwa watu wengi. Naomba radhi kwa sababu kama mtu wa familia, hili halitakiwi kutokea.”

The Sun limeripoti kuwa Walker alipata watoto wawili na Goodman, wakati akiwa kwenye ndoa na mkewe Annie.

Nini maoni yako?

Source -The sun
Written by Mjanja M1
 
Maoni yangu ni kwamba alipasha kiporo...halafu kwa kuongezea mtalaka hotongozwi.....na ukizingatia ni mzazi mwenzake...hivyo basi si mgeni katika via vya uzazi husika.🙂
 
Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake.

Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV.

“Nilichokifanya ni kibaya mno,” alisema, huku akimuomba radhi mke wake Annie Kilner, ambaye ni mjamzito, na ambaye tayari wana watoto watatu pamoja.

“Matendo yangu yamesababisha maumivu makubwa kwa watu wengi. Naomba radhi kwa sababu kama mtu wa familia, hili halitakiwi kutokea.”

The Sun limeripoti kuwa Walker alipata watoto wawili na Goodman, wakati akiwa kwenye ndoa na mkewe Annie.

Nini maoni yako?

Source -The sun
Written by Mjanja M1
Huko si tuliambiwa wanazaa watoto wawili tu, jamaa hapo naona ana watano na mmoja yupo njiani
 
Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake.

Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV.

“Nilichokifanya ni kibaya mno,” alisema, huku akimuomba radhi mke wake Annie Kilner, ambaye ni mjamzito, na ambaye tayari wana watoto watatu pamoja.

“Matendo yangu yamesababisha maumivu makubwa kwa watu wengi. Naomba radhi kwa sababu kama mtu wa familia, hili halitakiwi kutokea.”

The Sun limeripoti kuwa Walker alipata watoto wawili na Goodman, wakati akiwa kwenye ndoa na mkewe Annie.

Nini maoni yako?

Source -The sun
Written by Mjanja M1
Huyu jamaa bila shaka alitakiwa kuzaliwa Afrika.
 
Anatakiwa aombe radhi kwa kosa la kuomba radhi ovyo ovyo kwa kila mtu. Mwanaume kuoa wajameni
 
Hakuna maoni, ni suala la kawaida sana kwa mwanaume, sioni cha ajabu wala jipya..!! Kosa lake kuomba radhi, mwanaume unatakiwa uwe na kifua kigumu, unatulia tiiii, alafu mambo yanaendelea
Una furahia uzunifu.
Utakuta unaenda kanisani au msikitini.
Aibu yako.

Angekuwa kafanya mwanamke ungelaani ,
Fluuuuuuuuuuuu
 
Una furahia uzunifu.
Utakuta unaenda kanisani au msikitini.
Aibu yako.

Angekuwa kafanya mwanamke ungelaani ,
Fluuuuuuuuuuuu

Wewe acha kukariri, mapenzi ni jambo jema sana sana, nyie ndio mnaliharibu, nani kakwambia ukisex na mwanamke yeyote hata kama hujaoa ni uzinzi? Hiyo ni imani tu ya kizungu au kiarab, unaweza fanya mapenzi na wanawake wengi tu na hakuna shida yoyote, acha kukariri
 
Upagani
 
Angefanya mkewe je??
Huo uzinifu??
 
Back
Top Bottom