mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya Tanzania inavyokiuka mkataba wa Geneva

    Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu. Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi...
  2. JamiiForums Tanzania Hersi Said amepotosha kuhusu mkataba wa Yanga na kampuni ya BlackBird AI

    Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI. Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
  3. JamiiForums Tanzania Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

    Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono. Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nipe Gari yako Kwa mkataba

    Habari wakuu. Kweli tunapambana wala hatukati tamaa ya Maisha sababu tayari familia tumeanzisha. UBER/BOLT Kama unagari yako kuanzia namba (EA) ambayo huifanyii matumizi yako binafsi mara Kwa mara basi naomba nipe mkataba wa miaka MIWILI kila wiki nikuwekee 150000 (Laki moja na Hamsini) basi...
  5. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

  6. J

    JamiiForums Tanzania Yanga yaingia mkataba wa Bil.3.3 na kampuni ya Haier

    Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu. Je, unadhani thamani ya mikataba inayoingiwa na timu zetu za Tanzania inaendana na hazi na ukubwa walionao?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

    Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
  8. JamiiForums Tanzania Rostam Azizi atuambie huu Mkataba ulihusu nini?

    GT Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu. Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma. Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba Wa Sportpesa na Yanga Kuendelea.?

    Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.! Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20. Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ? Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

    Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26? Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yanga yamuongezea mkataba Max Nzengeli wa miaka miwili

    Unadhani kwa sajili hizi wanazoendelea kufanya yanga,zinawaeza kuwa na manufaa makubwa kuelekea mashindano makubwa ya kimataifa ngazi ya vilabu?
  12. JamiiForums Tanzania Jacob Massawe asaini mkataba mpya Namungo FC

    Jacob Massawe 33, nahodha wa Namungo Fc ya Ruangwa , Lindi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia klabuni hapo. Mkongwe huyu amehudumu kwa muda sasa kwenye ligi kuu huku akiwa na kiwango kilekile. Nahodha huyu wa Namungo ananikumbusha nahodha wa zamani wa Kagera Sugar, George Kavila ambaye...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Azizi Ki ajiunga na Azam FC kwa Mkataba wa mwaka mmoja

    Wakuu, Kwa taarifa nilizokua najua awali ni kuwa mchezaji Azizi Ki alimaliza mkataba wake na timu ya Yanga na kusaini Mkataba na klabu ya Wydad ya Morocco, alafu leo nimekutana na hii eti kasaini mkataba na Azam, naombeni msaada wakuu wa Jamii check
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania na Alma wasaini mkataba wa uenyeji

    TANZANIA NA ALMA WASAINI MKATABA WA UENYEJI Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa Uenyeji (Host Agreement) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Juni 28, 2025. Uwekaji saini huo...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good. Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu?? Wanasheria wa jf mje mtuambie.. Nilivyoielewa kwa ufupi... Prenup ni kifupi cha neno la Kiingereza...
  16. JamiiForums Tanzania • Serikali yaipongeza tarura, miji 11 ikisaini utekelezaji mkataba wa Tactic

    SERIKALI YAIPONGEZA TARURA, MIJI 11 IKISAINI UTEKELEZAJI MKATABA WA TACTIC Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa Serikali inatambua jitihada na kazi nzuri inayofanywa na Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini TARURA...
  17. JamiiForums Tanzania Mali yafikia mkataba wa kibiashara na Urusi

    Mali na Urusi zimetia saini mikataba inayolenga kupanua ushirikiano wa biashara ya pande zote mbili na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi. Makubaliano hayo ni pamoja na ahadi ya ushirikiano kuhusu nishati ya nyuklia, kulingana na maelezo yaliyotolewa na Kremlin. Tangazo la mikataba hiyo lilikuja...
  18. JamiiForums Tanzania Je katika mkataba huu wa uchimbaji Helium nchini, tuko serious kweli?

    Leo nmekutana na habari kuhusu Tanzania kuingia mkataba wa uchimbaji Helium, kwamba Tanzania tutapata 17% tu huku mwekezaji akipata zaidi ya 83% Nikiangalia kiundani mkataba huu wa Helium One (Southern Rukwa, Tanzania) na Serikali ya Tanzania kuhusu uchimbaji wa helium katika eneo la Southern...
  19. JamiiForums Tanzania Huu mkataba unambana mpangaji na kumbeba mwenye nyumba

    Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti...
  20. JamiiForums Tanzania Ninaitafuta bajaji ya mkataba

    Nahitaji bajaji ya mkataba Kama unayo au unaweza kuniunganisha na mwenye nayo. Mawasiliano: PM tuzungumze 0781694294
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…