Hadi waarabu hawamtaki CR7 ?
Hili swali ndio linatrend uko duniani
How comes arabs kick out CR7
Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati
Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi
Ronaldo hakutakiwa kwenda...
Ni zipi stahiki anazopaswa kupewa mtumishi wa mkataba wa ajira ya mwaka 1 na ambae amebakiza miezi 3 mkataba wake uishe,pindi anapo hamishwa kutoka kituo chake cha kazi kwenda kituo kingine?
WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
Wauguzi wenye sifa na vyeti waliohitimu vyuo vinavyotambulika hapa nchini kuanzia 2018--2024 kwa kazi ya kujitolea na kupata uzoefu ,kwa mkataba wa kulipwa nusu mshahara kwa muda wa miezi sita' kama upo au una mtoto ,rafiki na jamaa ,nafasi zipo chache ,wasiliana kwa namba hii 0614 922509
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka.
Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
Kiwanja kipo mbali na mkoa ninaoishi kwa sasa. Nina mtu atakayenisaidia kupokea hela kwa ajili ya malipo, au ninaweza nikaweka kwenye akaunti ya muuzaji kama ataona sawa.
Changamoto yangu ni kuwa ninataka jina langu na sahihi yangu kama mnunuzi ionekane kwenye mkataba huo. Siyo kwamba siwaamini...
Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini.
Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
Ni kawaida ya Chama mkataba unapokaribia kuisha huongeza sana juhudi ya mazoezi. Na hili jambo kwa kweli humbadilisha Chama na kumfanya mpambanaji sana uwanjani.
Ila tena matches ngumu zikianza huanza kucheza kwa woga akiogopa kuumia maana umri nao si haba. Chama akutane na Dodoma Jiji...
KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
Poleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji pikipiki ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya pikipiki mimi niko tayari. Nipo LINDI
Tajiri akiwa Lindi au Mtwara itakua bora zaidi
MAWASILIANO 0714441827
Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao ulitarajiwa kumalizika Juni 2025.
Baada ya kusaini amesema “Nimefurahi, tuna timu nzuri, tuna nafasi ya...
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili.
Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani
Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.
Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali.
Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakabili wakenya.
Je unachukuliaje hatua hii ya Rais kusaini mkataba wa makubaliano na kiongozi wa...
Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.