Mkataba Wa Sportpesa na Yanga Kuendelea.?

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,377
Reaction score
10,121
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.

Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?

Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?

Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?

' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
 
Mkataba wanini Nyie Shida yenu si kumfunga Simba!!

Screenshot_20250730-002525.jpg

Siku 13 Vs Masaa 2
 
Sport pesa haiwez kuondoka yanga..sababu ya ushabiki maandazi wa tarimba utawanyima vitu vingi sana yanga ...hata tycoon companies zingine zikija zitakuta uswahili huyo ponjoro hawez achia kirahisi..
 
Hakuna mdau yoyote anaejiuliza kuhusu mikataba ya yanga....acha uongo
 
Simba wapo kiprofessional zaid huku Yanga wako kilocal zaidi wameendekeza urafiki kwenye biashara lazima wapate kiduchu
 
Bilioni 4 tu, uvae Kifuani neno Sportpesa Mwaka mzima?

Ama Kweli ukipewa na ukashiba 'Supu' hakuna kuwaza tena kinachobakia ni kupewa chapati 2 ule ukalale.
Kuna vitu kama mtu mwenye akili timamu ulipaswa ujiulize kabla hata haujahamia kwenye mkataba wa Sportspesa na Yanga.

Simba walitangaza kusaini mkataba wa miaka mitano na M-bet wenye thamani ya billion 26. Sasa kama hiyo figure ilikuwa haina makando kando kwanini wasitishe mkataba kabla ya muda? Mikataba ya Simba ina usanii mwingi ndio maana mwisho wa siku wanavunja kabla ya muda wake kuisha
 
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.

Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?

Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?

Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?

' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
Mbumbumbu mkiambiwa mnazo akili za kuvukia Barabara mnachukia lakini ndio ukweli,,unahoji mkataba wa sportpesa badala ya kuhoji mkataba wenu na M.bet umeishaje wa b.26?
Mliingia mkataba kwa mbwembwe lakini umevunjwa kimya kimya aijulikani shida ilikuwa nini na mnakuja kusaini wa bilioni 20!
 
Bilioni 4 tu, uvae Kifuani neno Sportpesa Mwaka mzima?

Ama Kweli ukipewa na ukashiba 'Supu' hakuna kuwaza tena kinachobakia ni kupewa chapati 2 ule ukalale.
Umejiuliza bilioni 20 za Simba kwa miaka mingapi?
Hiyo kwa mwaka bei gani?
Mkataba umesainiwa lini? Kumbuka miaka ikisogea na thamani ya club inapanda.
Unajua vipngele vya ndani ya mkata Kama haki ya exclusive right?
 
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.

Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?

Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?

Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?

' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
Viongozi wa Simba wanajua kuwa wanachama wao ni mambumbumbu,sasa mnafurahia mkataba uliojaa uwongo baada Mo atawaletea mabilioni anoyowadai kwa umbumbumbu wenu lawama zote kwa mangungu.
 
Yanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom