Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,369
- 68,460
Jacob Massawe 33, nahodha wa Namungo Fc ya Ruangwa , Lindi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia klabuni hapo.
Mkongwe huyu amehudumu kwa muda sasa kwenye ligi kuu huku akiwa na kiwango kilekile.
Nahodha huyu wa Namungo ananikumbusha nahodha wa zamani wa Kagera Sugar, George Kavila ambaye yeye alicheza ligi kuu mpaka pale alipostaafu akiwa na miaka 41.
Mimi ni shabiki sana wa wachezaji wenye kujitunza na wasio na makeke wala show off.
Hongera sana Jacob Massawe