Yanga yaingia mkataba wa Bil.3.3 na kampuni ya Haier

Jize one

Member
Joined
Jul 8, 2025
Posts
25
Reaction score
29
Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu.
Je, unadhani thamani ya mikataba inayoingiwa na timu zetu za Tanzania inaendana na hazi na ukubwa walionao?
 
Yanga kwenye mikataba huwa wanapigwa sana.. ! Sportpesa kupitia Tarimba imewabaka hawafurukuti , Huyo Haier nafikiri ndo walewale GSM hakuna ushindani kbs wanaambiwa tu Vaeni hili bango bega la kushoto hakuna kuhoji hoji.
 
Ulitakiwa ujue Yale ma Bango ya MO kwenye jezi ya Simba ambayo ni zaidi ya ma 4 kwa kila Bango, mkataba wake ukoje?
Baada ya apo utaelewa kama Yanga wamepigwa au vipi.
 
Haha 🤣 🤣 🤣 🤣 haaaaaaaaaaaa...
 
Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier webye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu.
Je, unadhani thamani ya mikataba inayoingiwa na timu zetu za Tanzania inaendana na hazi na ukubwa walionao?
Kwa soka la Africa ni sahihi kwa timu nyingi kukubari mikataba kama hiyo,kwa maana soka letu bado halijapanda thamani,ndio maana unaona timu zinavuja jasho na kutumia fedha nyingi kupigania kuwa bingwa wa afrika,ambaye zawadi yake haizidi bilion 6.

Kwahiyo kwa Mkataba huo wa Hier na Yanga ni sawa tu..
 
Mdhamini wa kifuani anatoa kiasi gani kwa mwaka? Ama mkataba wake unasemaje na thamani yake ikoje.

Ndio itakuwa rahisi kuutolea comment mkataba wa Haier
 
Yanga kwenye mikataba huwa wanapigwa sana.. ! Sportpesa kupitia Tarimba imewabaka hawafurukuti , Huyo Haier nafikiri ndo walewale GSM hakuna ushindani kbs wanaambiwa tu Vaeni hili bango bega la kushoto hakuna kuhoji hoji.
😂😂😂Vijitu kama nyie bana.. hebu tuambie simba anapata kiasi gani dhidi ya mabango ya mo ambayo yanatapaka kwenye jezi?
 
Yanga ina mabango begani mawili, kifuani, shingoni na makalioni. Vipi tuanze kuwaita nao "makolo"?
 
Yanga kwenye mikataba huwa wanapigwa sana.. ! Sportpesa kupitia Tarimba imewabaka hawafurukuti , Huyo Haier nafikiri ndo walewale GSM hakuna ushindani kbs wanaambiwa tu Vaeni hili bango bega la kushoto hakuna kuhoji hoji.
Simba hwapigwi ila kila kitu Mo anatoa mfukoni kwake.

Hizo pesa ambazo huwa zinatajwa kwenye mikataba ya Simba zinafanya nini??
 
Hapo ni begani?
1000333033.jpg
 
Yanga kwenye mikataba huwa wanapigwa sana.. ! Sportpesa kupitia Tarimba imewabaka hawafurukuti , Huyo Haier nafikiri ndo walewale GSM hakuna ushindani kbs wanaambiwa tu Vaeni hili bango bega la kushoto hakuna kuhoji hoji.
Hao ambao hawapigwi sasa hivi wanadaiwa bil 67? Yaani ukijumlisha hiyo mikataba mliyo ingia kwa miaka nane na hela mnayodaiwa utakuja kugundua ni uongo mtupu, bora Yanga wapo real.Na bado anaye wadai kajaa kwenye jezi nzima.
 
Ulitakiwa ujue Yale ma Bango ya MO kwenye jezi ya Simba ambayo ni zaidi ya ma 4 kwa kila Bango, mkataba wake ukoje?
Baada ya apo utaelewa kama Yanga wamepigwa au vipi.
Naunga mkono hoja
 
According to maoni ya baadhi humu, As Long as Simba hainufaiki na matangazo basi na Yanga isiponufaika ni sawa tu. Soka letu kivyetu vyetu.
 
Hapana, Yanga wameweka wazi wanachopata katika bega Moja.

Simba sio begani tu, Wana mabango mpaka makalioni na kinacho patikana kwa kila Bango ni Siri na Bado Wana Deni la Bilioni 87 wanavyo daiwa na mwenye Mabango. 😄😄😄
 
Hao ambao hawapigwi sasa hivi wanadaiwa bil 67? Yaani ukijumlisha hiyo mikataba mliyo ingia kwa miaka nane na hela mnayodaiwa utakuja kugundua ni uongo mtupu, bora Yanga wapo real.Na bado anaye wadai kajaa kwenye jezi nzima.
Badala ya kilinganisha na Simba, ni bora ungejibu hoja ya juu hapo; Je, kiasi hicho kwa Yanga kinatosha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom