Yanga yamuongezea mkataba Max Nzengeli wa miaka miwili

Yanga yamuongezea mkataba Max Nzengeli wa miaka miwili

Ligi ya msimu 2025/26 itakuwa ngumu sana. Ila nina tumaini Yanga bado itachukua kombe la NBC na itafanya vizuri kimataifa.
Mungu Ibariki timu ya wananchi.
Tuseme amin.
 
Yanga ata ingesalia na timu ya msimu uliopita Bado wange twaa ubingwa. Ki uhalisia msimu uliopita yanga walitengeneza gap la point zaidi ya 12 dhidi ya wapinzani wake.

Ni marefa wa hovyo walio punguza gap na si wapinzani wa Yanga.

Kama msimu ujao tatizo la marefa litaondoka/pungua gap kati ya Yanga na timu zingine halita punguza point 15.
Yanga Bimgwa.
 
Hongera nyingi kwake.

Hakika Max Nzengeli ni mchezaji mzuri na anayejituma sana uwanjani. Ila msimu ujao wa ligi namshauri awe na maamuzi sahihi awapo eneo la mwisho la timu pinzani. Sehemu ya kufunga, afunge! Na sehemu ya kutoa assist, atoe.
 
Anakupenda sana Max.
 
Back
Top Bottom