mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?) Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tshekedi, huenda akaingia mkataba wa kimadini na US, katika kulinda imaya ya Kongo!

    Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali inaibiwa tu bure bure na wahuni, =============== In his first interview since an armed group backed by...
  4. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hamas wasalimu amri kuhusu kusitisha mkataba wa kubadirishana wafungwa

    Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
  8. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda

    Kwenu wakuu habari zenu Mimi kijana wa miaka 25 Elimu form six Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo Uaminifu ni mkubwa hata ukitaka kupelekwa inapokaa familia yang yaan wazaz na wakanizamin nipo tayar Mawasiliano 0685176087
  10. Madame B

    JamiiForums Tanzania Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

    🙏🙏🙏🙏🙏
  11. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi Fly Emirates na Arsenal ni mkataba wa maisha

    Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

    Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF. Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na...
  13. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Wazee naomba kuuliza hivi Arsenal na Fly Emirates ni mkataba wa milele?

    Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tshisekedi aliingia mkataba na Museveni, Odinga na Kagame kabla ya uchaguzi wa 2018 alioushinda

    MKATABA WA KUMWEKA FELIX TCHISEKEDI MADARAKANI Mnamo Tarehe 22/11/2018, siku ya Alhamisi katika eneo la Upper Hill kwenye ofisi ya Mzee RAILA AMORO ODINGA kulifanyika mkutano, Ajenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni jinsi ya kuchukua madaraka ya Congo baada ya JOSEPH kumaliza muda wake;na pia...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Peo Guardiola avunjiwe mkataba akauguze majeraha ya talaka,ataipoteza Man City

    Najua inauma hela ulizotafuta kwa jasho miaka yote kuchukuliwa pasu kwa pasu na mwanamke. Sisi timu Man City tunakuomba utupishe ukauguze majeraha ya kibuti. Soma Pia: Arsenal 5-1 Manchester City Sisi wakufungwa goli 5 na Arsenal kweli
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Serikali inayofanyakazi: Serikali ya #JMT🇹🇿 na @UNWTO zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya 🇹🇿 Kongamano la Chakula

    HIZI NDIZO KAZI ZA SERIKALI YA KISASA https://x.com/urtupdates/status/1882732188799799422
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasaini Mkataba Wa Billion 354.45 Kwa Ajili ya Maendeleo ya Kilimo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takribani shilingi bilioni 354.45 za kitanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa kilimo vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa Kahama?

    Habarini wanaJF? Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa manispaa ya Kahama?
Back
Top Bottom