mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki King Lion imetumika miezi 9 Mwanza Mjini

    INAUZWA 1.7mil... 0713096076 ipo IGOMA CC 150 GIA 5. HAIJAGUSWA POPOTE ENGINE NZIMA. KARIBU
  4. JamiiForums Tanzania Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress. Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

    Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake. Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena. Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta viwanja Moshi Mjini, budget ni Million 3

    Habari ya leo, Naomba mnisaidie kujua maeneo gani kuna viwanja vizuri kwa Moshi manispaa Budget ni Million 3 mpaka 4 Asanteni.
  7. JamiiForums Tanzania Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

    Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Kigoma Mjini

    Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea zaidi Nyumba iwe ya kisasa (Presentable) Maji umeme na huduma zingine za muhimu usalama fence
  9. JamiiForums Tanzania Mkifika mjini mkumbuke mlikotoka

  10. JamiiForums Tanzania Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa. Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

    Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
  12. JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  13. JamiiForums Tanzania Kweli mjini hakuna cha bure kujisaidia 500

    Hii kauli nilikuwa naisikia tu mjini hakuna cha bure leo ndio nimeona.kujisaidia 500 kweli kweli.mavyoo yenyewe machafu hii hela inapelekwa wapi
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

    Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator...
  16. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  18. JamiiForums Tanzania Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

  20. JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…