N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,263 Reaction score 12,666 Jan 29, 2023 #1 Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari.
Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari.
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,306 Reaction score 32,796 Jan 29, 2023 #2 Instagram tumetukanwa [emoji17]
nashukuru mzima JF-Expert Member Joined Jul 11, 2017 Posts 1,011 Reaction score 1,915 Jan 29, 2023 #3 N'yadikwa said: Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari. Click to expand... Hakuna mtandao wa kike au wa kiumee jombaa. Mimi ni mfanyabiashara online. Niko Twitter,Fb, Instagram,tuktok
N'yadikwa said: Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari. Click to expand... Hakuna mtandao wa kike au wa kiumee jombaa. Mimi ni mfanyabiashara online. Niko Twitter,Fb, Instagram,tuktok
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 122,266 Reaction score 201,312 Jan 30, 2023 #4 Huko kote nipoo na kwingne zaidi.